Msaada: kama upo US(Marekani)

Msaada: kama upo US(Marekani)

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,447
Habari wakuu! nina rafiki yangu yupo Boston marekani, alikuwa anafanya kazi ya kuendesha magari ya mizigo(trucks) ila kwa sasa ameachishwa kazi..
Hana kazi ya kufanya na mazingira yake ya kuishi ni magumu na mbaya zaidi ni wa kike..

Kwa anayeweza kumsaidia japo apate kazi au msaada wowote tunaweza kuwasiliana.
 
Pole zake, najua changqmoto ya kuwa mtoto wa kike. Je elimu yake?
 
Habari wakuu! nina rafiki yangu yupo Boston marekani, alikuwa anafanya kazi ya kuendesha magari ya mizigo(trucks) ila kwa sasa ameachishwa kazi..
Hana kazi ya kufanya na mazingira yake ya kuishi ni magumu na mbaya zaidi ni wa kike..

Kwa anayeweza kumsaidia japo apate kazi au msaada wowote tunaweza kuwasiliana.
Pole yake. Mwambie asikate tamaa. Ila nashangaa. Hana marafiki au hawezi kutafuta kazi za dharura yeye mwenyewe akafanya?
 
Kama ana work permit avumilie atafute kazi nyingine hata kama haiendanani na taaluma yake hawezi kukosa labda awe mtoto wa mama, kama work permit imeisha arudi nyumbani angalau kuna joto kuliko kupigwa na baridi huko.
 
Marafiki anao wachache... Ni story ndefu sana mpaka apo alipofika
Anyway, ni kweli dunia ina mikasa mingi ambayo hata huwezi kuifikiria kama ipo. Naishi ughaibuni hivyo najua hali halisi. Bahati mbaya siko hayo maeneo, ningempa msaada.
 
Hizi ni kati ya sababu zilizo nifanya nikayachukia maisha ya ughaibuni.
Ebu mwambie huyo ndugu yako arejee nyumbani Tz tuuze matikiti. Mwambie aachane na sifa za kijinga kwamba anaishi ng'ambo
 
Dah!
 
Pole yake. Mwambie asikate tamaa. Ila nashangaa. Hana marafiki au hawezi kutafuta kazi za dharura yeye mwenyewe akafanya?

Anaweza kusaidika.na.connection zake.sio jamii, na kama hana basi asistahili.kusaidiwa atakuwa sio.mwaminifu
 
Arenew work permit au arudi nyumbani tu maisha kokote.
Mkuu hiyo inawezekana.. Anaruhusiwa kuishi ad mwez wa 11..
Screenshot_20190511-215904.jpeg
 
Back
Top Bottom