Serikali imesitisha kwa muda matumizi ya sheria ya vipimo inayotaka kutumia vifungashio katika usafirishaji wa viazi mviringo kutoka maeneo ya uzalishaji kwenda sokoni.
Akisoma hotuba ya bajeti...
Ukikutana na huyu bwana msalimie sana,
Msifie kadri uwezavyo
Mpe pongezi nyingi nyingi
Usimpe nafasi ya kuongea hachelewi kukuharibia siku
Nafikiri mnamjua..
Viongozi wengi mikoani nchini sijui bado wanawaza nini, nchi ni yao, lakini bado wanaendeleza kufanya mafyongo tu.
Meneja wa Tanesco kakosekana katika ziara ya jpm katika ufunguzi/uzinduzi wa...
Wakuu nimejikuta matatani baada ya Afande mmoja kuniagiza maandazi kama kitafunwa, sasa baada ya kukosa maandazi nikaamua nijiongeze mie mwenyewe kumchukulia Donati, kimbembe ni pale Afande...
Habari wana JamiiForums,
Nimehamia kikazi kutoka Dar sasa nipo Dodoma.Nina wiki ya pili sasa na zifuatazo ni chamgamoto ambazo ndio fursa za biashara Dodoma mjini..
1.Kunyoa nywele sh...
Wakuu salam
Leo asubuhi nimeamka vizuri nikawa nipo kijiweni tunapiga stori sababu mvua ilikua imenyesha hivyo nilikua sina kazi.
Nyumayangu akaja jaama ambae ni bubu na hasikii kama utani...
hapo zamani wanafunzi wa chuo hasa UDSM Ilikuwa ni ngumu tena haikuwezekana kusoma mwaka mzima bila kigoma! haikuwezekana kabisa. mambo yalianzia rev.squire. watu waligoma kushinikiza. mwaka, 2001...
BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (Ewura CCC) limewatahadharisha watumiaji wa jiko la gesi kuwa wasitumie simu za mikononi wakati wakipika, kwa vile linaweza kulipuka kwa...
Nimewiwa kuandika jambo ili,ili nisje nikafa nalo moyoni naisi itakuwa ni dhambi ambayo naweza ukumiwa nayo kwa uzembe wangu.
Miezi kadhaa iliyopita, nilikuwa mkoani mwanza maeneo ya Ghana sjui...
Habari wadau wa HnH,
Kufuatia mvua zilizonyesha kwa wiki hii mfulilizo, Sisi wakazi wa Mabwepande tumepata hadha ya kubomokewa na daraja la tumaini linalounganisha "Kwa Wahanga" na Block 14...
Nimefuatilia hizi ajira za walimu wa shule za msingi na secondari sijaona shule kutoka Zanzibar zikipata walau walimu kwa uchache. (Hakuna hata mwalimu mmoja)
Je, kunautofauti wa ajira za...
NEW HABARI.. ANAJIKUNA PALE PANAPOWEZA KUKUNIKA....!!![emoji848][emoji848][emoji848]
Mzee Magu sasa sisi wenye Virusi tutaishi kwa style ipi? Kama wazima tu ari ni tete....!!!
Namfagilia RC wa Mbeya Amos Makala kwa kulibebea bangi tatizo sugu la bei ya chai.
Rejea Guardian leo pg 3.
Hili ni tatizo sugu kwa maana ni la muda mrefu sana na hata wabunge wa eneo la Rungwe...
KUTOKA MAHAKAMA YA KISUTU
WAKILI: Ndugu Shahidi, hivi Kampeni za Nyumba kwa Nyumba zinaruhusiwa wakati wa Uchaguzi?
SHAHIDI: Ndio, zinaruhusiwa.
WAKILI: Wewe ulijuaje kuwa akina Mbowe walikuwa...
Amani iwe kwenu wadau.
Ninaomba kupitia jukwaa hili nifikishe kilio chetu sisi Wafanyakazi wa hospitali ya Ks kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala.
Naomba kuwasilisha hoja zifuatazo:
1...
Hizi ili shirika la Air Tanzania limekuwaje?...., mbona sikuhizi mmeota mapembe?....., yaani sikuhizi kwenda airport na kuondoka kwa muda muwafaka nikitu ambacho hakiwezekani....., last week...
Nimeona nakala ya serikali juu ya mifuko ya plastic kupigwa marufuku kuingia nchini, hasa kwa wasafiri.
Suali
Luggage zenye wrapped zitapigwa fine?
Naona hii sheria imeelekeza zaidi wasafiri...