Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hamidu ni Mtanzania ambaye elimu yake ni darasa la saba tu lakini hakukata tamaa sababu aliamini kufeli elimu sio kufeli maisha, akaamua kufanya kile alichoamini anakiweza na leo hii ni Milionea...
16 Reactions
119 Replies
30K Views
Naomba kukamilisha uzi kwa kusema jambo jema kwa serikali kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa maendeleo endelevu ya mazingira Naomba kutoa rai kwa serikali kuanza mchakato wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WATOTO sita wenye ulemavu wilayani Ileje mkoani Songwe wameokotwa wakiwa wametupwa na wazazi pamoja na walezi wao. Wilaya hiyo inatajwa kukithiri kwa vitendo vya kutupa watoto wanaozaliwa pindi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naulizia hizi condom pendwa ambazo zipo very effective na bei yake wanyonge wengi wanaimudu. Nimezitafuta sasa niko phamarcy ya tano naona hola. Je mzalishaji/msambazaji amebadili biashara...
2 Reactions
87 Replies
13K Views
Mfalme wa rhymes Tanzania afande sele amedai kuwa kitendo cha kukataza bangi ni kumkumfuru Mungu aliyeiumba. Mfalme huyo mwenye nyimbo za kuelimisha jamii amedai kuwa kuhalalisha bangi kutainua...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
  • Closed
Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili. Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe...
26 Reactions
455 Replies
47K Views
Wakuu, wiki hii katika mihangaiko ya hapa na pale nilikuwa mkoani kigoma wilayani Kibondo. Kulikua na zoezi la uchukuaji fomu za kujaza kwaajiri ya vitambulisho vya taifa. Zoezi hili lilikuwa ni...
1 Reactions
49 Replies
6K Views
MRADI wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka, maarufu kama mwendokasi, awamu ya pili kutoka Gerezani hadi Mbagala Kuu jijini Dar es Salaam, unatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wakuu, Hiv karibuni serikali ilitangaza kwwmba imeongeza vifaa vya upimaji wa homa ya dengue na hivyo kushusha gharama kutoka 45000 mpaka kati ya 15000 na 20000. Sasa naomba kuuliza kwa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakati tukiendelea kujisifia kuwa taifa la kwanza katika nchi za maziwa makuu kutumia Kiswahili kama lugha ya taifa na kuwa nchi ya kwanza yenye idadi kubwa ya watu waongeao Kiswahili, bado hali...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Watanzania habari zenu hii habari mm imenigusa sana, Captain wa timu ya Taifa #TaifaStars na mshambuliaji tegemeo wa Club ya Genk ya kule Belgium na mtoto wa Mbagala Dsm, kuripotiwa na vyombo vya...
3 Reactions
43 Replies
7K Views
Basi la abiria ambalo linalomilikiwa na Kampuni ya Sweet Africa lililokuwa linatoka mkoani Njombe kuelekea Dar es salaam, limepata ajali leo majira ya asubuhi maeneo ya mlima Kitonga Taarifa za...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Eti utasikia sijui fulani anazikwa kwenye kaburi la Familia alipozikwa Mke/Me/Mtoto wake, sasa hiyo familia itazikana hapo hadi lini? Hivi mnajua kwamba kuna watu waliokufa miaka zaidi ya laki...
2 Reactions
71 Replies
7K Views
Watu wengi sana wanatamani kuajiriwa lakini hawajui ni nini kilichopo kwenye ajira hizo, utumishi wa umma kwa sasa umegeuka kuwa utumwa wa umma, watumishi wana hali mbaya na wasipo kuwa makini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za wakati huu, Kama wengi wetu tunavyofahamushwa kuwa bendera ni moja kati ya tunu za taifa letu sijui kwa mataifa mengine. Swali ni nani alibuni ama aliyeanzisha matumizi ya bendera...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi nimeamua niwe naiacha mbali ili niwe huru. Maana nikiwa nayo dakika 5 ni nyingi sana kabla sijaipapasa!! C&P
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Asema: Nilikua Na Watoto Watatu Na Wote Wameoa.. Basi Siku Moja Nikamzuru Yule Mkubwa Na Nikataka Nilale Kwake, ilipofika Asubuhi Nikamwambia Mke Wake Anipe Maji Ya kutawadhia. Nikatawadha Vizuri...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mambo muhimu unayofaa kuyafahamu kuhusu filamu pendwa mpya ni pamoja na haya:- 1. Lupita Nyong'o mtanzania kutoka pale jijini Mwanza ni miongoni mwa watakaokuwemo kwenye filamu ijayo ya James...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Kwa kadri nilivyofundishwa na kuyasoma maandiko, ninatambua kuwa sadaka ni siri iliyoumbika katika imani kati ya Mtoaji na Muumba wake. Biblia ikaenda mbali na kusema hata mkono wako wa kushoto...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu nipo huku mitaani na zunguka kwa makampuni walau nipate kazi ila wale maajaent wanaofanya michakato ili kupata nafasi wanataka niwapoze japo ya Chai bila hivyo nafasi basi.. Vipi waku hii...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…