Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimetonywa kuwa wachekeshaji maarufu Bongo; Joti na Mpoki, wanashikiliwa na kituo kimoja cha polisi jijini Dar na kulazwa rumande kwa takribani saa 24 sasa. Bado haipo wazi wana kesi gani...
7 Reactions
62 Replies
14K Views
Wajasiriamali wadogo na wakubwa, Wafanya Biashara ,ndogo za kati na kubwa Na wafanyakazi wote sekta binafsi, Ambao pesa yetu haitokani na bajeti ya serikali, and yet tunalipa kodi tena kwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii biashara imezidi kushamiri nchini, sasa hivi Tanzania nzima unapata hii huduma Pamoja na serikali kujitutumua lakini bado malaya wapo mtaani, Ukiingia kwenye saloon (barber shop) huko ni...
3 Reactions
41 Replies
9K Views
Wewe mtumishi,ni mda wa kuchukua tahadhari mapema 1.Hakikisha unaweka akiba ya chakula cha kukutosha kadri utakavyoweza,jitahidi angalau chakula cha miezi mitatu kisikauke ndani 2 Fuga japo kuk4 u...
13 Reactions
77 Replies
13K Views
Heshima kwenu wakuu? Niingie kwa mada moja kwa moja.Kuna baadhi ya viongozi wa seri kali wanafuga ndevu ikiwa pamoja na kuzichonga, je sheria na mwongozo hausemi kuhusu kunyoa ndevu zote. Haha ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Muongozo uko simple & clear sana. Hatutegemei kutokea kwa sokomoto kama zile za usafi wa kila mwisho wa mwezi kati ya mgambo na raia. Hatutegemei mwananchi ulete ujuaji mwingi pale unapokamatwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima kwa wazee wa jukwaa. Tukiwa kunaikaribia tarehe 1 June ambapo ndio sheria itaanza kufuatwa kwa wote watakaokutwa na hii bangi mpya kama sio madawa ya kulevya, kuna baadhi ya mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
“ Naiomba Serikali kupitia Wizara husika isipoteze muda kabisa Kununua na Kusambaza tena hizi Condoms nchini bali waache tu ziadimike ili Watu na hasa wale Wazinzi Wafe kabisa kwani huko Kufa kwa...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada wa ratiba ya treni ya deluxe kutoka Dar kuelekea Kigoma, ipo lini na ratiba ya kukata ticket iko vipi maana nime jaribu kuingia kwenye website ya TRL hawako updated kabisa...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Binafsi, ni mtumiaji mzuri sana wa mitandao ya kijamii. Kwa muda mrefu toka 2012 nilipoanza kutumia sim zenye uwezo wa internet hata ya 2G tu, nimejikuta kwenye ulevi mkubwa. Hayapiti masaa...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Naibu waziri wa ujenzi, mawasiliano na uchukuzi katoa amri mabasi yote yanayoenda mikoani yaanze safari saa 11 alfajiri. Chanzo TBC1 habari ------ Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na...
3 Reactions
102 Replies
18K Views
Habari , Ni na ndoto ya muda mrefu ya kumiliki makazi ya ujenzi wa muda mfupi, ya kipekee na nafuu kidogo ila yenye ubora. Nimekuwa nikichunguza ujenzi wa wooden house kibongo bongo nimeona ni...
12 Reactions
205 Replies
27K Views
Salamu na heshima kubwa kwenu ndugu zangu wahandisi! Kwenye Syllabus ya Engineering hii hasa upande wa Geotechnical kuna hii ishu ya Barabara! Wahandisi kama tujuavyo kuna basic types Mbili za...
5 Reactions
71 Replies
9K Views
Habar wana Jf Katika harakat zangu za maisha nimekutana na viroja vingi sana ndani ya mabasi ya mkoani ambayo ni 1.Kukaa siti moja na mtu anayekula njia nzima kila anachokiona ananunua anakula...
11 Reactions
55 Replies
7K Views
Salaam Wadau leo nimefika kituo cha mabasi ubungo...na kukutana na changamoto kubwa sana ya usafiri,ambayo imenisukuma kuanzisha huu uzi hapa JF Jukwaa huru... kwa nia ya kuiambia serikali...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Heshima kwenu wakuu..... Ningependa kuzifahamu bank ambazo hutoa mikopo yenye riba nafuu kwa wafanyakazi. Kwa wanaojua tafadhali naomba ushirikiano wenu. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Habar wanajamvi? Ni muda sasa nimekuwa nikitafakari jambo hili lakini nimeona siombaya kama tukishirikiana kwa pamoja hapa. Kwa sasa tuna wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa,wizara...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Mkuu wa Wilaya ya Karagwe ameliagiza Jeshi la Polisi kuwaweka chini ya ulinzi Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Bukoba, Josephat Kyebyera na Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Bukoba, Siima Kyamani kwa...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu Mwenye kujua tafadhali Soma title hapo juu unipe majibu..
0 Reactions
1 Replies
564 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu ya Vodacom Hisham Hendi amerejea kazini wiki hii baada ya kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa inamkabili kuisha kwa kukiri kosa na kukubali kulipa. Ikumbukwe...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…