Kwa nini viongozi hawa wa serikali hufuga...

evonik

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
3,998
5,131
Heshima kwenu wakuu?
Niingie kwa mada moja kwa moja.Kuna baadhi ya viongozi wa seri kali wanafuga ndevu ikiwa pamoja na kuzichonga, je sheria na mwongozo hausemi kuhusu kunyoa ndevu zote.

Haha ni baadhi tu ninaowafahamu waliokuwa na ndevu,
1; Naibu Waziri, Mambo ya ndani ya nchi Mh.Hamad Masauni

2;Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Prof Assad

3; Mkuu wa wilaya ya Hai Bw.Ole Sabaya

4:Mkuu wa mkoa wa mbeya Mh. Albert Chalamila

5;Kama yupo ongezea


Je ni sawa kwa mijibu wa sheria na taratibu za utumishi wa umma?
(Nipo tayari kusahihishwa)
Nawasilisha
 
Picha
Screenshot_20190524-164036_1558705893095.jpeg
 
Back
Top Bottom