Msaada kuhusu ratiba ya treni ya reli ya kati

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
2,879
4,881
Wakuu naomba msaada wa ratiba ya treni ya deluxe kutoka Dar kuelekea Kigoma, ipo lini na ratiba ya kukata ticket iko vipi maana nime jaribu kuingia kwenye website ya TRL hawako updated kabisa, yani website haina taarifa muhimu kama hizi ni mambo mengine ya ajabu kwa kampuni kubwa kama hii.

Msaada tafadhari
 
Aisee yani hii kampuni sijui inaendeshwaje iko too local yani sijui hata kama wana IT expert
Unaingia kwa station master unafikiri zile nyumba kwenye horror movie
Kwanza nikiona ile saa aliiacha mkoloni halafu haijafanya kazi miaka 40 ndio nachoka

Halafu kuna misukule humo maana ukiuliza train inaingia saa ngapi I swear to God huwezi kupewa jibu sahihi hata kama mnaheshimiana aje na master

Yaani bora wangelikodisha hili shirika kwa mtu binafsi tu
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom