Mshahara kima cha chini

Mshahara kima cha chini

ulaya12

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
834
Reaction score
909
Ninaomba mtu anisaidie kupanga bajeti ya mfanyakazi anayelipwa mshahara wa kima cha chini ambacho ninafahamu ni 350,000/=tsh.wakati mtumishi huyo amepanga chumba mjini na ana mke na mtoto 1.
 
Kwani mke hafanyi kazi?
Kwa nini upange mjini?
Panga mbali uone kam gharama ni nafuu.
Jikaze kwa hiyo hiyo anzisha kitega uchumi kingine
 
Watumishi tunajua bajet ndani mchele kilo 30 unga sembe kg25 mafuta lita5 dagaaa kilo mbili maharage kilo kumi sukari kg5 tambii za kutosha gharama yake laki na 50 haya inayobak matumiz madogo kama mboga za majani na nyanya pamoja na nauli hivi vitu vyote vinakaa miezi 3 kwahiyo mshahara wa mwezi unaofata unabaki kibindoni maisha yanaendaaa fresh
 
Mbona umepiga hesabu kwa haraka sana kaka,hujaweka kulipia pango,nauli,umeme.
 
Back
Top Bottom