Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Type O "Hot" Population roughly 38% of the world is O +ve and 6% O -ve. Traits Confident and Strong-Willed, Proud, Dedicated, Sociable, Energetic, Extroverted, Frank, Realist, Showy, Flighty...
5 Reactions
38 Replies
12K Views
Mbwa wawili wameokotwa katikati ya mji wa Moshi. Mpaka sasa bado hajajulikana mmiliki wa Mbwa hao.
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Huu msemo huuu... Tujadili Je ya Musa ni yapi?na ya firauni ni yapi? Tujadili kwa muktadha wa lugha mintarafu kueleweshana
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Natafuta hand GPS ya Garmin ya kukodisha kwa muda wa siku 10 ,iwe version yoyote na acurace ya at least 5meters. Mwenye nayo anicheki inbox tuongee kwa undani zaidi. Napatikana dar...
0 Reactions
2 Replies
992 Views
Huku mtaani hakuna kitu kinasumbua kama chenji. Watu hawauzi kisa kakosa chenji au auzunguke wee. 5000 na 10000 ni shida, Mbadala wa efu kumi mprinti 2000 na noti mpya ya 3000 ziwe nyingi za...
20 Reactions
91 Replies
9K Views
Habari wana Jf Nahtaji kuongeza daraja la leseni yangu ya udereva,nahtaji class C3,hii niliyonayo ina Class A,A2,B,D,na G tu,sasa nahtaji C3 itanitosha,kwa anaejua naomba maelekezo jinsi ya...
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Hali ya kifedha kwenye mfumo wa NSSF si nzuri na inaelekea ufumbuzi umeshindikana kutokana na waliochukua pesa za michango ya wafanyakazi kutozirudisha. Kitendo cha NSSF kuwa na ukata wa fedha...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mambo vp wadau? Mbali ya tala, branch, na mitandao ya simu kuna app yoyote iliyojitokeza kukopesha? Maana vyuma vimekaza wadau!!!
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Wakuu na wale wenye taaluma ya kufanya uchunguzi tusaidieni. Toka mfumo wa vyama vingi urejeshwe mwaka 1992 kumekuwa na mabunge 4 kama ifuatavyo. 1995-2005 vipindi viwili chini ya Pius Msekwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwajiriwa mpya hupewa pesa ya kujikimu kwa siku saba tu! Hivi ni kwa nini? Baada ya siku saba kuisha aishi vipi maana mshahara wa kwanza huchukua hadi wiki tatu baada ya kumalizika kwa siku saba hizo!
0 Reactions
17 Replies
9K Views
“ Bwana GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE kama kuna Kitu ambacho Mtume Mohammed SW alikuwa hakitaki na hakipendi ni kutaka Sifa na Ufahari mbele za Watu. Watu wote wanaofuturisha Watu au Kutoa Misaada...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Maeneo ya Buguruni askari wa JWTZ 3 wametwangana na askari magereza Walianza kurushiana maneno kati ya wale wanajeshi 3 na askari magereza mmoja ndipo wakaanza kurushiana makonde baada ya askari...
30 Reactions
307 Replies
53K Views
Katika zoezi la utoaji pasi mpya za kielektroniki ofisi ya uhamiaji wanaelekeza kuambatanisha vitu kadhaa ikiwemo cheti cha kuzaliwa, kuna mtaalamu mmoja ambaye anahakiki vyeti kwa kuviangalia na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
IBADA kwa tafsiri ya kawaida ni kindi cha mwanadamu kuwa karibu na muumba wake(wasiliana). Napata tabu sana kujua nini kinatusumbua sisi watu wa karne.Unakuta mtu anaenda ibadani utadhani anaenda...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naombeni mnijuze hasa kwa wale waliopitia maandiko matakatifu (Bible) Ikiwa ulioa kwa kufunga ndoa kanisani baada ya hapo mkakosana na kuachana na mke/mme wako Je, inaruhusiwa kuona na...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna aina 3 za akili ila wengi wetu karibia 98% huwa tunang'ang'ana na aina moja tuu. Matokeo yake wengi wetu tunashindwa ku-copy na kasi ya maisha yanayobadilika kila kukicha...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Maisha yanasonga. NMB salary advance inakataa leo May 25, 2019 toka asubuhi. Ukiomba wanakwambia subiri dakika 10. Matumizi yamekuwa mengi kuliko mshahara nilioupata. Tatizo ni nini wakuu ...
0 Reactions
28 Replies
12K Views
Ile foleni ya Kimara Ubungo sasa imehamia rasmi Kimara-Mbezi. Magari hayasogei kabisa kwa wale waendao mikoani. Hali imekuwa mbaya sana. Fikiria unatumia masaa manne kutoka Kimara mpaka Mbezi...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Ni wale wa ile pesa tuma kwenye namba hii,sasa waja na mbinu mpya!
2 Reactions
35 Replies
6K Views
Mwenye ujuzi na hizi gem stones,are this saphirre or what? Na bei zake zinaendaje? Asante
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…