Pyepyepye
Nyete
ZeroIQ
Njooni mtueleze matumizi ya mate.
Mshana Jr. Najua kule kwetu huwa tunatema mate ndani ya kibuyu ndio tueleze shida zetu.
Yule dada aliyejilaani mwenyewe @ambarutti yumo humu?
Hivi huwa unajisikiaje kuona rafiki yako anatumia mate kuhesabu pesa....
lakini wewe unatumia mate kama kilainishi[emoji51]
Ila sio mbaya ni vile hiyo pesa ya kuhesabu hatuna..
Mie nimewaza tu mniache kwanza..
Najua sipo peke yangu..
ukikata gogo mzee, unameza?mimi huwa natema nikikojoa,sijui kwnini nimezoea hivyo?