Shukran sana mkuu kwa muongozo . Nikikwama nitakuja tena hapaUkishuka stand chukua boda mwambie akupeleke makao mapya nauli ni sh 1000 kutoka stand kuu ya mabasi.Huko kuna guest house za bei nafuu..mfno kutetere lodge..monjes lodge..na nyinginezo nyingi ambazo zina bei nafuu na utaenjoy..
Kuhusu sehem za bata mwambie toyo kutokea hapo makao mapya akupeleke Picnic Bar ipo Kaloleni napo nauli ni buku ukifika huko kumbuka Condom
Karibu Arusha mengineyo ukitaka kama mambo ya Hashish ni PM
Unalalaje room ya below 15? [emoji849]
Hicho ndicho kilichonishangaza, class yake na mambo anayoyataka hata haviendaniNa anataka demu mkali pia...
Halafu kiwan alicholekezwa ni machinjioni we subiri atakuja hapa na boxer mkononi....Hicho ndicho kilichonishangaza, class yake na mambo anayoyataka hata haviendani
[emoji38][emoji38]Halafu kiwan alicholekezwa ni machinjioni we subiri atakuja hapa na boxer mkononi....