Wasomi msaada Tafadhari.

Wasomi msaada Tafadhari.

pharao

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
405
Reaction score
747
Habari Great thinkers, Nina Swali naomba Wasomi wazuri wa History Wanisaidie.

Nahitaji kujua Africans (Kwa majina) ambao waliopitia mateso ya ubaguzi na kunyanyasika kutoka kwa race nyingine miaka iliyopita.

Katika kuhangaika kwangu nimefanikiwa kuwapata wawili tu ambao ni Sara Baartman wa South Africa na Ota Benga wa Congo. So nahitaji kuwajua wengine zaidi. Hata ukinitajia majina tu nitashukuru.
Wenye Ujuzi wa History naombeni Msaada wenu tafadhari.
 
Bashite
 
Usiwe unasema wasomi wakusaidie especially katika mambo ya kuhitaji msaada ambao mtu yeyote anawea akakusaidia(history sio somo la gumu kias cha kusema wasomi wakusaidie) pia kumbuka sio kila msomi ana uelewa mpana,na sio kila ambae hajaenda shule bhas hana uelewa,Mfano marehemu Songambele na darasa ya saba yake aliweza kuwa Boss pale tanesco na hata akashika nyadhifa nyingi za kiutawala serikarin na hakubolonga kama hawa wasomi wa sasa unaowaamini,Ni ajab na inasikitisha kuona mtu anaejiita msomi wa karne hii una mentality ya ukoloni
 
hv n mimi sijaelewa swali au maana wenzangu wote wanavyojb na nilivyoelewa n tofaut,
anyway

Will Brown-USA
Rosa louise McCauley Parks- USA
Creuza oliveira - brazil
Ron law - Austal
Marcus Boyd - USA
Josephine Harper
Elijah Turley
evra, henry, eto'o, auba, stering, sol campbell, daren moore, danny rose.

Ni weng sanaa nimechoka kuandka
 
Mangi sina alikatwa shingo na wajerman

Mkwawa walimchinja ila wajinga wachache wanasema alijiua

Chief Nana was opobo alichinjwa hadharani

Mfalme jaja alinyongwa usiku

Patrice lumbunga alichomwa moto na CIA

Sadamu Hussein alinyongwa na waislamu wenzake kwa msaada wa NATO Gen machristo mkuu wa vikosi vya NATO Iraq alishuhudia hii kitu

Mzee karume alipigwa risasi ya tako akiwa anacheza bao ,lipigwa na Henga kwa msaada wa sultan jamsheede ambaye yupo burmigham UK

Mwanahabari Jamal khashogg alikatwa katwa vipande na MBS kwa mujibi wa Congress ya USA

Caros Teves alirushiwa ndizi na mashabiki wakimfananisha na nyani

Rais Bush Jr aliruahiwa viatu na wanahabari mjini Baghdad

Adoph Hitra aliwachoma moto maelfu ya wayahudi katika utawala wake ,maujai haya maarufu kama horrocost hutajwa kuwa ya kinyama zaidi

Nitarudi

Asante sana mzee, asante usingechoka kuandika ningefurahi sana. Ila hata huu ni msaada mkubwa sana, Nashukuru
 
Mangi sina alikatwa shingo na wajerman

Mkwawa walimchinja ila wajinga wachache wanasema alijiua

Chief Nana was opobo alichinjwa hadharani

Mfalme jaja alinyongwa usiku

Patrice lumbunga alichomwa moto na CIA

Sadamu Hussein alinyongwa na waislamu wenzake kwa msaada wa NATO Gen machristo mkuu wa vikosi vya NATO Iraq alishuhudia hii kitu

Mzee karume alipigwa risasi ya tako akiwa anacheza bao ,lipigwa na Henga kwa msaada wa sultan jamsheede ambaye yupo burmigham UK

Mwanahabari Jamal khashogg alikatwa katwa vipande na MBS kwa mujibi wa Congress ya USA

Caros Teves alirushiwa ndizi na mashabiki wakimfananisha na nyani

Rais Bush Jr aliruahiwa viatu na wanahabari mjini Baghdad

Adoph Hitra aliwachoma moto maelfu ya wayahudi katika utawala wake ,maujai haya maarufu kama horrocost hutajwa kuwa ya kinyama zaidi

Nitarudi
Shukrani sana boss
 
hv n mimi sijaelewa swali au maana wenzangu wote wanavyojb na nilivyoelewa n tofaut,
anyway

Will Brown-USA
Rosa louise McCauley Parks- USA
Creuza oliveira - brazil
Ron law - Austal
Marcus Boyd - USA
Josephine Harper
Elijah Turley
evra, henry, eto'o, auba, stering, sol campbell, daren moore, danny rose.

Ni weng sanaa nimechoka kuandka
Mbuzi we
 
Tufafanulie huo ukweli wa Mkwawa Kuchinjwa hadharani na sio kujiua maana hata fuvu lake lina tundu risasi alizojipiga
 
Tufafanulie huo ukweli wa Mkwawa Kuchinjwa hadharani na sio kujiua maana hata fuvu lake lina tundu risasi alizojipiga
Mangi sina alikatwa shingo na wajerman

Mkwawa walimchinja ila wajinga wachache wanasema alijiua

Chief Nana was opobo alichinjwa hadharani

Mfalme jaja alinyongwa usiku

Patrice lumbunga alichomwa moto na CIA

Sadamu Hussein alinyongwa na waislamu wenzake kwa msaada wa NATO Gen machristo mkuu wa vikosi vya NATO Iraq alishuhudia hii kitu

Mzee karume alipigwa risasi ya tako akiwa anacheza bao ,lipigwa na Henga kwa msaada wa sultan jamsheede ambaye yupo burmigham UK

Mwanahabari Jamal khashogg alikatwa katwa vipande na MBS kwa mujibi wa Congress ya USA

Caros Teves alirushiwa ndizi na mashabiki wakimfananisha na nyani

Rais Bush Jr aliruahiwa viatu na wanahabari mjini Baghdad

Adoph Hitra aliwachoma moto maelfu ya wayahudi katika utawala wake ,maujai haya maarufu kama horrocost hutajwa kuwa ya kinyama zaidi

Nitarudi
 
Sankara
Ndadaye wa Burundi
Habyarimana Rwanda , waliuliwa na kagame
 
Usiwe unasema wasomi wakusaidie especially katika mambo ya kuhitaji msaada ambao mtu yeyote anawea akakusaidia(history sio somo la gumu kias cha kusema wasomi wakusaidie) pia kumbuka sio kila msomi ana uelewa mpana,na sio kila ambae hajaenda shule bhas hana uelewa,Mfano marehemu Songambele na darasa ya saba yake aliweza kuwa Boss pale tanesco na hata akashika nyadhifa nyingi za kiutawala serikarin na hakubolonga kama hawa wasomi wa sasa unaowaamini,Ni ajab na inasikitisha kuona mtu anaejiita msomi wa karne hii una mentality ya ukoloni
Alichomaanisha kwamb msomi co mpk awe na vyeti ukiwa unafahmu jambo fulani unaweza pia ukawa msomi
 
Ulikuwepo akijipiga ahahaaa akili ya chekechekea hivi akipigwa tundu linajiziba
Tufafanulie huo ukweli wa Mkwawa Kuchinjwa hadharani na sio kujiua maana hata fuvu lake lina tundu risasi alizojipiga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom