Movie ya Kibwetere

Movie ya Kibwetere

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
627
Reaction score
1,153
Naomba kuuliza,hivi kuna movie inayoelezea kisa cha kibwetere kuwachoma moto waumini wake,kama ipo naomba kujua jina la hiyo movie.
 
Movie zipo nyingi tu, maana wachungaji wa aina yake wapo wengi tu na wanafanya upuuzi kama huo tu
 
Huyu alikuwa gaidi,ukitengeneza movie,itafundisha vizazi vijavyo kuwa gaidi,kama yeye na wenzake,Huyu Askof na sister Mariya,waliuwa watu wengi,ni gaidi Askofu.
Naomba kuuliza,hivi kuna movie inayoelezea kisa cha kibwetere kuwachoma moto waumini wake,kama ipo naomba kujua jina la hiyo movie.
 
Back
Top Bottom