Msaada utaratibu wa kuhama shule a level naingia kidato cha sita mwaka huu

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,410
3,376
Mimi ni mwanafunzi naingia kidato cha sita naomba msaada wa utaratibu wa kuhama shule kwa wanaojua.ni government to government
 
andika vzr, unahama private kwenda private?

Government kwenda government?
au government kwenda private?
Edit uzi wako la sivyo subr walevi waje usipotaman ufute uzi
 
Back
Top Bottom