American Ninja
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 237
- 330
Nina mtu wangu Leo Kapata Changamoto, Alikuwa kwenye Meditation Sleep akapitiwa na usingizi alipotaka kuamka ndipo kizaa zaa kilianza kwani kila alipoona ameamka baada ya muda kidogo aligundua kuwa alikuwa bado kalala hajaamka!, Anasema aliamka mara tatu ila kila alipoamka alihisi mazingira tofauti kidogo, alipowaza kwani nimelala au naota alijikuta yupo tena palepale alipolala!, Hadi alipokuja kutumia nguvu kubwa kabisa ya akili kusema kwamba sasa ndo naamka kabisa ndipo alipoamka kwelikweli, hii hali ikoje kwenu wajuzi wa haya mambo ya tahajudi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app