Tambua ya kwamba mke wako anaamini utakufa kabla yake!!!

mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
620
865
Nawasalim wakuu,

Nimefanya research ndogo na nimefikia conclusion ya kwamba wake zetu wanaamini sisi tutakufa na tutawaacha. Na huwa wanatamka kwamba mume wangu tujenge isije likatokea lakutokea ukaniacha na watoto hakuna pakuishi. Au utasikia mume wangu niandikie wosia au hati fulani andika jina langu kabisa ili ukifa nisije kusumbuliwa na mawifi nakadhalika hizi ni lugha wanaume tunazisikia.

Na pia nimefanya utafiti nimegundua kwamba asilimia kubwa ya vilio vya wanawake pale unapofariki ni unafiki na ubinafsi. Utawasikia umeniachia watoto peke yangu nitalea na nani mimi? hapa huwa baada yakufa wewe automatically anawaza mrithi wako. Hii ni sahihi kwani wanasema ukitaka kuwin heart of the widow, jiweke karibu sana kipindi cha msiba. Jifanye unamfariji sana , mfano baada ya kuzika mpigie simu au nenda baada ya watu kuondoka msalimie mfariji 100% utakuwa mrithi...

So wanaume wenzangu, tuwe makini na tukubaliane na hali kwamba wenzetu hawa wapo kwa maslahi tu....

Nangu Mandokwa
 
Hilo ni kweli..

Nilinunua kiwanja, kwenye hati ya hicho kiwanja, nikaandika jina la sister yngu..

Sasa kuna manzi nimezaa nae, alivyosikia kuwa kwenye hati ya kiwanja nimeandika jina la sister, ali-mind kinyamaHuku akisema...
Ukifa mimi na mwanangu tutakaa wapi?.

Mimi nikamuuliza..
Umejuaje kuwa mi nitakufa kabla yko?
 
Nawasalim wakuu,

Nimefanya research ndogo na nimefikia conclusion ya kwamba wake zetu wanaamini sisi tutakufa na tutawaacha. Na huwa wanatamka kwamba mume wangu tujenge isije likatokea lakutokea ukaniacha na watoto hakuna pakuishi. Au utasikia mume wangu niandikie wosia au hati fulani andika jina langu kabisa ili ukifa nisije kusumbuliwa na mawifi nakadhalika hizi ni lugha wanaume tunazisikia.

Na pia nimefanya utafiti nimegundua kwamba asilimia kubwa ya vilio vya wanawake pale unapofariki ni unafiki na ubinafsi. Utawasikia umeniachia watoto peke yangu nitalea na nani mimi? hapa huwa baada yakufa wewe automatically anawaza mrithi wako. Hii ni sahihi kwani wanasema ukitaka kuwin heart of the widow, jiweke karibu sana kipindi cha msiba. Jifanye unamfariji sana , mfano baada ya kuzika mpigie simu au nenda baada ya watu kuondoka msalimie mfariji 100% utakuwa mrithi...

So wanaume wenzangu, tuwe makini na tukubaliane na hali kwamba wenzetu hawa wapo kwa maslahi tu....

Nangu Mandokwa
Mh! Huwa ninahudhuria msiba na hicho kilio cha mjane kuwa umeniachia watoto huwa ninakisikia na huwa kinaniliza
Pia Ila kwamba ni cha kinafiki siafiki kabisa
 
Hili jambo ni sahihi kwa asilimia 99, ingawa pia ni kweli wanaume tunakufa zaidi kuliko kina mama, na wao wanazaliwa wengi zaidi kuliko wanaume. Nchi karibuni zote duniani wanawake ni wengi kuliko wanaume na hata kwa wanyama wengine wa jinsia ya kike ni wengi zaidi ya kiume. But, si vizuri hata kidogo kutumia kauli wanazotumia kana kwamba wana aasurance ya 100% kuwa waume zao tutatangulia kabla yao. Huwa inaleta huzuni sana moyoni unapozisikia kauli hizo na direct kuzifasiri kuwa Daah Mrs nae yupo ktk mlengo wa kimali zaidi !! Ingeweza kibusara kutumika kauli kwamba, mume wangu watoto wetu tuwajengee msingi bora ili pale tunapowaacha basi wasipate tabu sana na wawe na pa kuanzia (Inclusivity) . By the way, kila mtu na wakati wake, kila mtu na riziki yake, unaweza kuacha majumba 10, yakauzwa immediately baada ya kufa kwako na familia ikadanga.
 
Yaan mimi nafikiriaga nifanyeje nikifa wasimtafune mrembo wangu . Tangaza una ukimwi vidume hawatamzoea ovyo ovyo tu ukifa

Wivu ni mbaya sana

Mara nyingi sana wanaume huoa wanawake ambao ki umri wako chini ya umri wao. Hivyo wanaume kwa muktada huo wataanza kuzeeka na hivyo kwa uzee au magonjwa kutokana na kawaida ya shughuli za wanaume ni kuhangaika sana safari, kazi ngumu, pengine mapombe, sigara, wengi huanza kufa mapema.

Hivyo kina mama wako sawa kusema hivyo, lakini si kwamba wanawaua.
 
Yaan mimi nafikiriaga nifanyeje nikifa wasimtafune mrembo wangu . Tangaza una ukimwi vidume hawatamzoea ovyo ovyo tu ukifa

Wivu ni mbaya sana

hahahaha jealousy is real !!, daah kweli huo ni wivu uliokithiri. Imagine ki dini tunaambiwa pia, kama una acha mjane, akaolewa, na yule aliemuoa akaishi nae kwa wema zaidi yako, siku ya malipo kama nyote mnaingia peponi, aliekuwa mkeo ataingia peponi na jamaa aliemuoa baada yako, kwa maana yeye ndie aliekuwa mume bora zaidi yako kwa wema, possibly hata kwa majamboz
 
Back
Top Bottom