Kuna wimbi la matapeli wanaowapiigia wateja simu kwa kuwatisha kuwa unatakiwq TAKUKURU - Makao makuu Upanga kwa kukupa muda mfupi ili ufike Makao Makuu Upanga. Ndugu yangu alipigiwa simu Jumamosi muda wa saa nne asubuhi na simu Na. 0689377734 ili afike Makao makuu Upanga Jumatatu asubuhi. Ninashauri matapeli kama hawa wafuatiliwe na watiwe nguvuni nia yao ni kutaka kuwarubuni wananchi ili wapate fedha. Naomba taarifa hii ifanyiwe kazi.