enery
JF-Expert Member
- Aug 21, 2015
- 368
- 437
Nashindwa kuelewa wale wote wanaolalamika kuwa deni la taifa katika awamu hii ya tano limekuwa. Hatukatai kukua kwake ila miradi yote inayofanya kwa ukuwaji wa ilo deni tunaiona kwa macho watanzania wote. Hakuna nchi iliyoendelea bila kukopa, hao marekani na ukubwa wao wote bado mpaka kesho wanakopa kwa ajili ya kuendeleza miradi yao. Iweje sisi tujikosoe tena wenyewe kwa wenyewe wala sio hao walioko nje na ambao ndo wanatukopesha, kama unadaiwa na huna vigezo ya kukopeshwa inakuwaje ukopeshwe tena?
List of countries by external debt - Wikipedia
en.m.wikipedia.org