Muda muafaka sasa: ATCL kuwa na cargo planes

13 mega pixel

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Messages
7,377
Points
2,000

13 mega pixel

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2013
7,377 2,000
Tufikirie: tutafikia nchi ya viwanda miaka ijayo ila kwa sasa its so much cheaper to use somebody factory huko china na nchi nyinginezo uka produce na ukafanya biashara yako vizuri tuu hapa Tanzania bila jasho, tukubaline watu wengi duniani wanafanya, mfanyabiasha anatengeneza tuu name tag/brand ana order china anauza...

Ninaishauri serikali inunue ndege hata tatu kubwa za mizigo zitakazotusaidia wafanyabiashara ndogo ndogo tunaomiliki viwanda(vya wachina huko china) kufanya kazi kwa haraka na unafuu, imagine unaagiza mzigo unachukua wiki 2 ama 3, mpaka mwezi, ninajua airbone transport ni ghali ila kwa namna fulani ita save time, kuliko kutumia meli...haswa tukitumia shirika letu la ndege

Tutauza bidhaa zetu nje, za mazao, miti, bahati n.k na kuingiza ndani kwa unafuu bidhaa tunazohitaji zikiwemo machines za viwanda n.k kwa uharaka, pia tunaweza kusafirisha bidhaa hizo katika nchi nyingine ukanda huu wa SADC
 

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
1,226
Points
2,000

Wazolee

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2018
1,226 2,000
Ni kweli nahisi hata matunda yetu mengi yanaoza kwa sababu hatusafirishi nje
Kama tungekuwa na ndege ikawa inasafirisha matunda embe,mananasi, machungwa,mapapai,maparachichi ingekuwa poa sana
 

Forum statistics

Threads 1,392,178
Members 528,565
Posts 34,100,769
Top