Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua...
MNAKUMBUKA NILISEMA, HIZI NI SAA NA HAKUNA KESI HAPA
Kwanza nitakuwa wa kwanza Leo kuugana Mwamposa kwamba hapa hakuna mmasai , hebu angalia hizi picha na sura hawa ni wamasaia ? Okey hata kama...
Singapore imepita katika njia ile ile ambayo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaiongoza Tanzania leo kwa kuwekeza katika uchumi, elimu na nishati kama nguzo za maendeleo ya Taifa.
Hivi Umejaribu Kuwaza Juu ya Athari Zinazoweza Kusababishwa na Hivi Vita vya Israel, Marekani na Iran?
1. Kupanda kwa Bei ya Mafuta Duniani.
Mzozo katika eneo la Mashariki ya Kati unaibua hofu...
Wahini siti nitaeleza elimu ya ndani sana.
Vitu nitakavyo gusia ni
1. Mambo ya kidini (Kikiristo).
Nitaongelea Mwili, Nafsi na Roho
2. Artificial Intelligence (AI) Technology na Machine...
Nimesikia mara nyingi kauli hii "kuna mambo yasiyo ya Muungano na yaliyo ya Muungano",. Kwa uelewa wangu Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tz walipaswa kushughulikia yale mambo ya Muungano tu...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetangaza kuwepo kwa upungufu wa uzalishaji na usambazaji wa maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza kutokana na hitilafu ya umeme katika...
Sakata lililotikisa Hospitali ya Somanda iliyopo Halmashauri ya mji wa Bariadi mkoani Simiyu, ambapo daktari alidaiwa kumpiga muuguzi wakiwa kazini, limefikia tamati baada ya pande husika...
Jirani na ilipo ofisi yangu, wadada wawili mawakala wamefunga ofisi yao na kisha kuondoka nyumbani kwao kama ilivyo destruri majira ya sa mbili usiku huu, ile wanakaribia geti la kwao mwizi...
Mmemsikia babu wa CCM akitamba
Kumbe kuna watu wanataka wafe?
==========
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Steven Wasira, ameshangazwa na baadhi ya watu wanaohoji kwa kejeli “mbona...
Nimekutana Leo na Rafiki yake mama, nimecheka sana!
Kanikumbusha mbali sana!
Nikiwa nimeandikishwa darasa la kwanza,Nilienda kuanzia shule, Sasa wakati wa kwenda,tulianza ofisini,Mimi na mjomba...
Hamjambo!
Nimekuta mjadala sehemu.
Shule inajivunia mazingira mazuri, waalimu mahiri, na zana bora za ujifunzaji na kufundishia.
Huku ikijigamba inauwezo wa kufaulisha.
Swali linakuja, kama...
https://youtu.be/GRTsSX1s-pA?si=zlEpESQVgC7v_IkJ
NA MATUKIO DAIMA MEDIA,
Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imesema imejipanga kuanza msako mkali dhidi ya matumizi holela ya vipaza sauti na...
Mimi umri wangu ni miaka 40 na zaidi kidogo, naish Dar es salaam na nimezaliwa hapa hapa Dar japo mie sio mzalamo,
Siku moja miaka 10 iliyopita nilipokea taarifa kuwa dada yangu wa mwisho...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepokea taarifa kuhusu zoezi la kuwaondoa wananchi kwa nguvu na kinyume cha sheria katika Kitongoji cha Luhafwe, Kijiji cha Vikonge, Kata ya Tongwe...
Habari za wakati ndugu, Mimi ni mmoja wa wauguzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu (Somanda).
Hivi karibuni hospitalini kwetu kumetokea tukio la kinyama, tukio la...
Leo nimejikuta napata ghadhabu sana na nikasema lazima niteme nyongo. Yani asubuhi asubuhi na hili baridi unakuta kitoto kidogo cha chekechea kimepandishwa boda eti kinaenda shule.
Yani wewe...
Jumapili nilipata fursa ya kutembelea eneo la Gongolamboto AIESS, lakini nilichokikuta kuhusu hali ya usafi kinatia wasiwasi mkubwa.
Taka zimejaa na kulundikwa barabarani kabisa, hali...
Nimekua nikifuatilia kwa siku nyingi Baadhi wa watumishi wa Umma kuchukua Salary Advance Kwenye Taasisi mbalimbali za Pesa hasa Mabenki,
Kiukweli Watumishi Huwaambii Kitu kuhusu salary Advance...