Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni baada ya usingizi kukata nikabadili mkao wa kulala kwa kusogeza kichwa na shingo juu ya mto. Baada ya kupitiwa na usingizi tena ndani ya dakika kadhaa. Ghafla nikaona kunamwanga amepitisha...
8 Reactions
49 Replies
531 Views
Sijui kwanini Malawi inaelekeza matumaini yake kwa hao Hususani wa Russia... Mara ohh sijui Malawi haichaguliwi maadui wala marafiki... Ni sawa lakini maslahi ya Taifa yapo at stake... Mchina...
2 Reactions
12 Replies
187 Views
Wakuu naombeni mnifingue macho pengine Kuna kitu ntakua sikijui mpaka leo au ntakua nimekilock bila Mimi kujua. Nikifungua page yoyote internet inakataa kwamba Sina Salio lakini nikiangalia Salio...
0 Reactions
10 Replies
176 Views
Jamaa ni hao hao tu Lugha ndo hiyo hiyo Majina ni hayo hayo Uchapakazi ndo huo huo Ukali ni ule ule Hii inafanya hata wameru na wamachame kushindwa kutofautisha accent zao haswa kwa wazee...
11 Reactions
42 Replies
676 Views
DAWASA, sielewi utendaji wao. Sisi wakazi wa Ukonga karibu na Aviation House, ni mwezi sasa maji hayatoki. Kuna tatizo la kutoboka kwa bomba kubwa Mlima Ukonga, lakini licha ya DAWASA Kinyerezi...
2 Reactions
9 Replies
619 Views
Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa...
23 Reactions
75 Replies
8K Views
Wakati tukiangalia ulimwengu wa nyama na ulimwengu wa roho kama pande mbili za sarafu moja, mfanano mkuu kati ya silver cord (kamba ya fedha) na umbilical cord (kamba ya kitovu) unadhihirika...
1 Reactions
3 Replies
158 Views
Siwezi shangaa maana kwa utawala huu wanaimba na kuabudu walicho ambiwa na mtawala. Sasa kuna nguvu kubwa sana ya matepeli na inaonesha wale wale mlio mleta na ndege yenu. Hawa ni kutoka kule na...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Wote tunashuhudia namna Wazanzibar kupitia wawakilishi wao wanavyoizungumza Tanganyika na watanganyika,Zanzibari ni nchi huru,basi tunaitaka Tanganyika huru na wakati ni sasa.
2 Reactions
13 Replies
306 Views
Kumekuwa na malalamiko mengi sana katika jamii juu ya mambo Kadha wa Kadha: 1;kupungua Kwa uzalendo 2;Mmomonyoko wa maadili ambao hasa hasa unaonekana Kwa kuwa na talaka nyingi,ongezeko la...
1 Reactions
6 Replies
108 Views
Vijana waliobahatika kupata kazi miaka 5 ya hivi karibuni. Wamekuwa na udhaifu mmoja naona hauongelewi ila wakiendelea hivi kutakuwa na shida mahali. Kwanza wamekuwa wakipenda kujipost...
13 Reactions
31 Replies
623 Views
Wanabodi, Japo hii hoja itaonekana ni ya ajabu, lakini amini usiamini, inakuza sana utalii!, maana watalii wanataka kuenjoy, moja ya sterehe kubwa duniani, ni starehe hii. Nimeangalia matokeo ya...
11 Reactions
59 Replies
10K Views
Tanzania kuna sehemu ukiweza kuwa dotto magari kwa uwezo mdomo wako basi umeweza kufika kukomboa nchi. Hapa naongelea uwezo wa ndani ya nchi kujumu domo vs matendo. Kuna jamaa yule yeriko...
1 Reactions
3 Replies
142 Views
Ni wazo ila ni kweli nazalia nyingi kama sinema na vitabu zinasema miaka ya huko mbele kwa vizazi vingine kutakuwa utawala ambao ni AI . Na unaweza kuwa na vita kubwa kati ya wanadamu na robot...
2 Reactions
13 Replies
190 Views
Mimi ni graduate katika moja ya chuo maarufu hapa Tanzania mwaka huu, Nina miaka 24, nimesomea bachelor of Accounting and Finance Kutokana na changamoto kadhaa ya ugumu wa ajira na maisha...
48 Reactions
141 Replies
16K Views
Mabadiliko ya usafiri kwenye swala la pikipiki yamepokelewa na watu wengi hususani wale wenye vipato vya kati na chini. Lakini limekuwa tishio kwa sasa.Uwelewa wa matumizi ya barabara asilimia...
3 Reactions
24 Replies
314 Views
Tangu alipoamua kuzungumza wazi kuhusu masuala mbalimbali ya uongozi, siasa na utawala nchini, Humphrey Polepole amekuwa mmoja wa viongozi waliozua mjadala mkubwa katika jamii. Wapo waliomuunga...
3 Reactions
5 Replies
245 Views
Miaka miwili iliyopita nilikuwa penzini na bidada mmoja na ukweli n kwamba kipindi kile sikuwa vzr kiuchumi Sasa huyu bidada alinidharahu na kuniona kuwa Mimi sio type yake Aliwahi kunitamkia...
8 Reactions
22 Replies
399 Views
Baadhi ya Waislam walio wengi wana roho Mbaya sana... Juzi kati Waarabu wametoa msaada wa nyama, Walichinja ng'ombe wengi sana... Kila Shehe akajibebea kilo 50 hadi mia eti wanapelekea watoto...
26 Reactions
102 Replies
2K Views
Baada ya kutoa kiasi pesa na kuakikishiwa nafasi na mkubwa fulani toka huko Dodoma mbaka asa hivi ni jau, nasikia wengine wanafanya vipimo huko. Nimechanganyikiwa pesa nilihifadhi kwenye kibubu...
14 Reactions
45 Replies
528 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…