Kwanza kabisa niseme kuwa hayo niliyoandika hapo chini ni summary kwa mujibu wa yale ambayo Mungu anawaonyesha watu wake katika ulimwengu wa roho na kwa hiyo sifa heshima utukufu arudishiwe Mungu...
Kuna mambo hapa Afrika ndio pekee kufichwa sana au kupoteza ushaidi. Ndio maana Afrika ni ngumu kupata ushahidi wa makaratasi.
Mfano October 29, 2025 inatosha kusema ushahidi unafutwa kwa nguvu...
Kila mtu ana dhahabu maishani mwake inaweza kuwa kipaji, biashara, ndoa, kazi, au
ata rafiki lakini dhahabu nyingi haziji zikiwa zinang'aa.
Dhahabu asili huchimbwa ikiwa imefunikwa na tope...
Hivi karibuni mamlaka ya maji mkoa wa Mwanza (Mwauwasa) walitoa taarifa ikihusisha hitilafu ya umeme kwenye vituo vya kuzalisha na kusambaza maji, changamoto iliyosababisha ukosefu mkubwa wa maji...
Katika siku zangu hapa Tanzania nimefanikiwa kuishi mikoa ifuatayo
Dar
Morogoro
Iringa
Mbeya
Njombe
Kagera
Manyara
Mwanza
Lakini katka mikoa hyo sikuona mambo makubwa ya kufurahia mpaka...
Bus za shabiby zimepoteza na zimeharibu mzigo wangu nimefuatilia kwenye uongozi nimeambiwa ni shida ya Kondakta na ni mwezi umepita sasa tangu mzigo wangu kuharibika na mwingine kupotea hamna...
Israel ndio imekuwa nchi pekee mashariki ya kati kuitambua Somaliland.
Ila waarabu wamepinga wanataka wawe chini ya alshabab wa somalia.
Israel inathamini amani, waarabu wwngi wanathamini extremism
Katika harakati za umiliki wa eneo, ni muhimu kuelewa kwamba kupata Hati ya Ardhi si jambo la siku moja. Ni mchakato unaopitia hatua mbalimbali za kisheria na kiutawala ambazo huwezesha mmiliki...
[Ufunuo 2:14]Lakini ninayo maneno machache juu yako, kwa kuwa unao huko watu washikao mafundisho ya Balaamu, yeye aliyemfundisha Balaki atie ukwazo mbele ya Waisraeli, kwamba wavile vitu...
👉 Ajali iliyowahusisha wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent mwaka 2017 ni moja ya matukio yaliyoligusa taifa kwa huzuni kubwa. Tukio hilo lilitokea katika Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha, na...
Inasikitisha mno.
Pamoja na kuwa na Afcon 2027.
Ila maajabu hakuna direct flight toka Dodoma to Arusha.
Air Tanzania, hii ni nini??
Yaani unatoka Dom, ili uende Arusha, lazima uwende Dar...
Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga
How Hawa wanaume wenzangu wanafikia Level za kutesa wake Zao au kuwa control na wengine wanashindwa kabisa na matukio ya wanaume wanaamua kwenda kwao...
👉 Matukio ya vurugu yaliyotokea Zanzibar baada ya uchaguzi wa mwaka 2000 ni miongoni mwa matukio yaliyoacha maumivu makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Mgogoro huo ulitokana na mvutano...
Tafuteni hela nyie watoto wa kiume Uzembe wenu ndio unawafanya mtegemee mali za urithi na kuanza wivu kwa wadogo zenu.
Bado naendelea kusema, na nitazidi kusisitiza kila siku, listen to me...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa onyo kali kwa waombaji wa mikopo, ikisisitiza kuwa haitavumilia vitendo vya kughushi nyaraka kwa lengo la kujipatia mikopo isivyo halali...
Nchi nyingi zinazokaribia kuanguka au kutafuta kuanguka na weza sema tanzania nayo hipo kibra.
Ukweli mchungu ila ukweli unasaidia ili kuokoa damu zinazoendelea.
Steji ilipofikia ni kwamba sasa...