Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kufuatia changamoto ya upatikanaji wa maji kwenye maeneo Mbalimbali ya Wilaya ya Ubungo, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameeleza kwamba shida ya maji ilikuwa inasababishwa na changamoto ya pampu...
0 Reactions
8 Replies
174 Views
Watu mnaosahau maumivu alituachia Magu na Polepole wake 1. Hakupandisha mshahara ya watumishi Kwa kipindi chake chote, kuwaondoa wafanyajazi wenye vyeti feki LAKINI kushundwa kureplace wengine...
0 Reactions
8 Replies
169 Views
If they ghost you: Don't text again Don't watch their stories Don't post to get noticed Don't talk about them Don't stalk their page Don't chase what left silently. Walk away like never...
3 Reactions
1 Replies
100 Views
TBC walitudanganya peke zao kwa raha zao kwamba wangetuonesha mechi zote za World Cup. Nikaamua peke zangu kwa raha zangu kununua big screens na kuziweka kwa street. Cha ajabu, watu...
14 Reactions
33 Replies
513 Views
Yapo Mengi sana ,Nimejifunza kwa Muda mfupi sana , Wakati nikiendelea kuona majibizano ya wafuasi wa wema sepetu na Anti -wema sepetu, So sitaki kujiingiza huko katika Majibizano hayo , Ila Mimi...
1 Reactions
23 Replies
407 Views
Hata wewe mwana JF kuna wakati ulidhani ulitupiwa kajini😆😆 HAKUNA UCHAWI.
5 Reactions
8 Replies
130 Views
Habari. Serikali ya Tanzania iache kabisa uhuni hasa kwa sisi vijana tunaobeti. Jana kuna mkeka nimeshinda wakati wa kuwithdraw hela nimeona wanakata asilimia 5 ya hela niliyoshinda. Hawa ni...
3 Reactions
9 Replies
151 Views
Professor, Dr halafu sio muislam? Hii inanipa shida sana katika akili yangu. Why? Kusoma kote huko hajauona ukweli?
3 Reactions
6 Replies
138 Views
Kisayansi, “faida za kuwa Muislamu” zinazotokana na mafunzo ya Qur’an zinaweza kuelezwa zaidi kama matokeo ya tabia na mifumo ya maisha (lifestyle) inayopendekezwa na Uislamu, ambayo imechunguzwa...
2 Reactions
7 Replies
180 Views
PRESHA WAVULANA WENGI WANAPAMBANA KIMYA KIMYA. Kuna presha nyingi ambazo jamii huziona kwa wasichana… lakini mara nyingi husahau kwamba hata wavulana wanabeba mizigo mizito moyoni. Tofauti ni...
10 Reactions
18 Replies
329 Views
Tajiri mdogo mwenye pesa nyingi Chief godlove kapata mpinzani. Mpinzani huyo moonster Billionare anakuja kasi sana kwenye mitandao ya kijamii kwa kuanika na kuweka hadharani pesa na utajiri wake...
6 Reactions
33 Replies
737 Views
  • Redirect
Habari za muda wana jf Katika harakat zangu za maisha nimejikuta tu nadondekea njombe. Nina wiki mpka sasa. Maisha yamenichapa balaa mfukoni Nina kama 1.5M nikawa nawaza biashara ya viazii kwa...
1 Reactions
– Replies
– Views
Dawa anatumia za presha alizopewa hospital, za kumeza kila siku. Akapewa na hemavit kwa ajiri ya kuongeza damu,lakini naona hali iko palepale, kichwa kinamuuma,mapaja yanauma,na nguvu hana,na...
0 Reactions
4 Replies
105 Views
Neno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine. Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina Ilitokea mwaka 622 BK. Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610...
8 Reactions
153 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Abdulmajid Mussa Nsekela, ametunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Afrika Kusini (UNISA), hatua inayotafsiriwa kama ushahidi wa namna...
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Nimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi? Please clarify!
12 Reactions
73 Replies
7K Views
Miaka ya 2004 kushuka chini kulikuwa na watu wa kawaida sana waliotamba kwa umaarufu pamoja na majina yao. Nakumbuka wachache ila mtaweza kuongeza. Mimi namkumbuka Baba Rama mwenye mikokoteni...
4 Reactions
10 Replies
634 Views
Mwanasiasa Abdul Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo amezungumzia taratibu zinazotumika kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo kutoka kwa Bodi ya Mikopo ya...
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Hawa ndugu zangu, wasukuma wanazaliana sana hadi wanatia wasiwasi kwa miaka ijayo. Inahitajika affirmative action ya uzazi wa mpango dhidi yao. Unakuta familia moja watoto 15, kama wa kiume ni 10...
20 Reactions
434 Replies
26K Views
Back
Top Bottom