Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Jamani kuna taarifa zinaenea juu ya kuhakiki majina yanayotumika kwenye Account ya mshara na Yale yanayooneka kwenye salary slip ni kweli? Yaani wanataka jina linaloonekana kwenye salary slip...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
  • Redirect
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa tahadhari ya kuwepo kwa upepo mkali na mawimbi makubwa katika maeneo ya pwani ya Tanzania. Maeneo yanayotarajiwa kuathirika ni mikoa ya Mtwara, Lindi...
0 Reactions
Replies
Views
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia wanafunzi wa Shule ya Msingi Msamadi iliyopo wilayani Hai kwa kukatatwa na bangi misokoto 59. Majira ya saa 10:30 katika kijiji cha kwa Sadala...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa masikitiko makubwa watu watau wakiwepo wanafunzi wamefariki baada ya kuzama katika dimbwi la Matope mkoani KAGERA halmashauri ya BUKOBA. R.I.P
0 Reactions
0 Replies
889 Views
BAADHI ya wanaume katika Wilaya Bunda mkoani Mara, wamezitelekeza familia zao na kwenda kusikojulikana kutokana na ugumu wa maisha, hususani uhaba wa chakula unaoikabili wilaya. Hayo yalielezwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hakika huyu mwandishi wa habari aliona mbali. WIKI iliyopita, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alipata ujasiri wa kuhoji hadharani uadilifu wa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Anaandika Wakili Msomi John Malya Commissioner wa Police nchini Tanzania, aliepata kushika wadhifa wa Inspekta Jenerali wa Polisi kwa kipindi kifupi kuliko watangulizi wake wa hivi karibuni...
25 Reactions
93 Replies
10K Views
Heshima kwa kila awaye! Nimekuwa nikifuatilia hizi kauli za watu kusema wanashauri,Swali je wanafuata taratibu katika kushauri,Mfano kama kweli una nia ya dhati ya kumshauri MTU kwa jambo ambalo...
0 Reactions
2 Replies
921 Views
Habari wanaJF KAGERA: Watu 3 wamefariki baada ya kuzama wakiwa wanagoelea na kuchota maji kwenye dimbwi lililopo jirani na Seminari ya Ntungamo mjini Bukoba leo. Mpaka sasa bado miili ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa cha somo kinavyoonekana ni kuwa kwa takriban wiki mbili kila nikifungua hiyo website yao kila nikijaribu kuifungua kipengere cha job opportunities kinakufunga kwa kuonyesha list ya...
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Au ndo mpo bize kukamata 30 za makosa barabaran?, au mmehamia boda kukamata madini? au mmeenda likizo kitengo cha IT chote? au website yenu wana edit makampuni mengne nyie mmeajiri washika fimbo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hizi ni baadhi ya picha nilizopiga mida hii hapa stand ya mabus ya mkoa wa Mara maarufu kama Bweri Hivi mbona mkoa huu na wilaya hii ya Musoma ambako ni nyumbani Kwa Baba wa Taifa kumesahaulika...
6 Reactions
38 Replies
9K Views
  • Redirect
Jana nilikuwa safarini nikiwa katika mabasi yetu haya ya kwenda mikoani, safari ilikuwa nzuri japo kusema kweli nilijikuta napata wakati mgumu na hiki kinachoendelea saa hivi kwenye haya mabasi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
: Msanii anayedai kuchora nembo ya taifa ya Bibi na Bwana, Francis Maige (86) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Muhimbili yathibitisha.
0 Reactions
Replies
Views
Watanzania tujiulize, miaka yote hii, kutia ndani kipindi ambapo Tanzania na Malawi tulikuwa na uhusano mbaya enzi za Kamuzu Banda, kipindi ambacho wala SADC haikuwapo, hatukuwa na mgogoro na...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanawake wawili wilayani Igunga mkoani Tabora wameuawa kikatili kwa kukatwa na mapanga na watu wasiojulikana huku mmoja akikatwa kiganja cha mkono wa kulia. Mtendaji wa Kata ya Tambalale, Salumu...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Bwana Yesu asifiwe! Jambo la 2 tunalojifunza juu ya: “Mambo unayohitaji kuyajua kuhusu ndoto unazoota ili iwe vyepesi kufanikiwa kimaisha” ni hili: “Ndoto ni mlango wa kiroho ndani ya mtu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna thread ilianzishwa, ilikuwa ikizungumzia kuhusu ujio wa mabasi ya Dar Lux Bus. Mabasi haya yameshaanza kazi rasmi, mara baada ya kuanza route zao niliamua kutumia usafiri huo to different...
0 Reactions
28 Replies
19K Views
Back
Top Bottom