Waruhusu tu, ni uzalendo! Mpaka watu wanaulizia hii maana yake rais anarudisha watu kuipenda nchi yao kutokana na uchapaji kazi wake mpaka sasa.
Hata mimi sitasita kuweka bendera ya taifa ktk ghetto.
Wengi hatujui, embu peperusha kwako tuone kitakachokukuta ili na sisi tujifunze kupitia wewe.
Teh teh,,, jaman mbona kwa wenzetu wanapeperusha tu kwann kwetu haiko ivo