Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama unajisumbukia kuwasikiliza CCM utapata shida sana. Hapa na zungumzia dunia ambayo ina watu nyuma ya dunia wanaweza kukupa signal,habari ambazo kwa mwenye akili ndogo unaweza kusema yule...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Nina uzi wangu wa kutupia matokeo ratiba kombe la dunia nashangaa siuoni hv umepotea au umefutwa kama kuna sehem umeuona nitag KARIBUNI
0 Reactions
1 Replies
68 Views
https://www.instagram.com/reel/DZutAh-I5Hn/?igsh=b3U0MnRmd3J2M3M0
0 Reactions
4 Replies
148 Views
Endapo nitafariki na halafu bado ikiwepo naomba mazishi yangu yawe live kupitia JF. Zile sehemu ambazo tu kisheria na kimila, na utamaduni wa kiislam unaruhusu. Kuanzia kuswaliwa, watu...
8 Reactions
20 Replies
236 Views
Kitengo cha Biashara cha Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam, kimetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na kampuni ya ZH Poppe Limited pamoja na wasimamizi wa mali za Marehemu...
2 Reactions
5 Replies
286 Views
Watu wengi wanadhani mtu kua malaya mpaka awe kwenye danguro lodge baa n.k lakini umalaya upo wa aina nying 1. Mwanamke kupenda hela za wanaume na kurubuni kupitia mwili wake 3. Kuwa na mwanaume...
5 Reactions
34 Replies
920 Views
Utangulizi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulianzishwa tarehe 26 Aprili 1964 na kuzaa taifa la Tanzania. Muungano huu umeendelea kudumu kwa zaidi ya nusu karne licha ya changamoto mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Naogopa sana kukosea, au kufanya maamuzi ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza kuathiri maisha yangu. Kwa kugundua hilo nimeona bora nitafute mtu wa kumuomba ushauri alafu baada ya hapo...
5 Reactions
19 Replies
340 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
The narrative that Tanzania and the United States were headed for a diplomatic fallout has completely collapsed. Recent engagements between senior officials from both countries have shown that...
1 Reactions
5 Replies
107 Views
Wakati wa ukoloni, Wazungu waliona thamani ya madini ya Afrika mapema sana. Walitambua kwamba dhahabu, almasi, shaba na madini mengine yalikuwa msingi wa nguvu za kiuchumi na kisiasa duniani...
0 Reactions
1 Replies
83 Views
RITA Kilombero (Ifakara) wanachelewesha sana kutoa vyeti, halmashauri nyingine vyeti vinatoka haraka ndani ya siku 1-4 lakini kilombero inaweza kuchukua hadi mwezi. Kuna mazingira ya rushwa pale...
0 Reactions
1 Replies
132 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa upanuzi wa barabara ya Dodoma Mjini–Chamwino Ikulu yenye urefu wa kilometa 32 kuwa ya njia sita, mradi utakaogharimu...
0 Reactions
1 Replies
184 Views
Wengi hivi sasa hata wasiokuwa waislam wanajua kwamba leo ni mwaka mpya wa kiislam. Hii ni kutokana na mapumziko ya watu wa Zanzibar kupewa offer ya mapumziko na kufanya watu wengi kufatilia...
5 Reactions
39 Replies
435 Views
Raia wanne wa China, Deng Anqing, Fan Zhong Hua, Zhang Jianjun na Deng Qiang, wanaotuhumiwa kumteka nyara mwenzao, wameshindwa kusomewa mashtaka katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Kinyerezi...
1 Reactions
18 Replies
311 Views
  • Redirect
‎ ‎Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhandisi Romanus Mwang’ingo, imekagua zoezi la ufungaji wa pampu mpya za...
0 Reactions
– Replies
– Views
NIPEBOOST ni mkopo wa siku 30.Usipolipa ndani ya siku 30 utatozwa faini ya 0.5% na kutozwa riba ya juu ya 0.83% kwa siku.Usipolipa ndani ya siku 60 unaweza kupunguziwa kiwango cha kukopa...
2 Reactions
2 Replies
204 Views
Mwanamke kukuacha wakati wa struggles inaweza kueleweka. Lakini kumrudisha baada ya wewe kusimama tena — hiyo inaweza kuwa kujisaliti mwenyewe. Wapo wanawake ambao hawawezi kuvumilia kipindi...
1 Reactions
2 Replies
139 Views
MUANGALIE MTU ANAYEKUSHINDA... KISHA UJITAZAME WEWE Nataka ufanye kitu kimoja leo. Muangalie mtu ambaye ni bora kuliko wewe hapo kazini. Muangalie mwanafunzi ambaye kila mara anapata matokeo...
4 Reactions
6 Replies
238 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…