Mbunge Said: Tukitaka kukopa hadi tupige Magoti Bara

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
3,298
Reaction score
4,770
Mwakilishi wa ACT-Wazalendo wa Jimbo la Gando Pemba, Said Ali Mbarouk ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia nafasi za uwakilishi, ameitaka Serikali ya Muungano kufanyia marekebisho utaratibu wa Zanzibar kukopa fedha kwa ajili ya maendeleo.

Akichangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inayoendelea kujadiliwa leo Juni 18, 2026 Mbarouk amesema Zanzibar imekuwa ikikumbana na changamoto ya kuhitaji idhini kutoka Tanzania Bara kila inapokusudia kukopa, hali anayodai wakati mwingine husababisha kucheleweshwa au kukwamishwa kwa mipango ya maendeleo.

Amesema utaratibu huo umekuwa ukileta “chenga za kifedha” na kuathiri kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kisiwani humo, hivyo akataka kuwepo kwa mjadala wa kina kuhusu namna Zanzibar inavyoweza kuwa na uhuru zaidi wa kifedha ndani ya mfumo wa Muungano.

Aidha, amegusia suala la ongezeko la deni la Taifa la Zanzibar, akieleza kuwa baadhi ya Taasisi zimekuwa zikibanwa kifedha, hali inayoweza kuathiri utekelezaji wa shughuli nyingine za Serikali.

#MillardAyoUPDATESView attachment 3610458
muongo huyo 🐒
 
Huwa nawashangaa wanaposema lazima waje bara hawajui kama bara sisi hatuna serikali au wanajitoa akili sisi tuna serikali ya jamhuri hivyo kama mnataka kukopa kama Zanzibar basi inabadilika kutoka katika nchi na kuwa kama mkoa ndiyo maana mnalazimika kuja bara ambapo ndiyo makao makuu ya muungano ulipo
 
Acheni watu waongee( uzuri mmebaki wenyewe bungeni) tuzidi kuona panapovuja , maana Lissu et al waliongea kipindi kila cha bunge la KATIBA, mkapuuza
 
Mwakilishi wa ACT-Wazalendo wa Jimbo la Gando Pemba, Said Ali Mbarouk ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia nafasi za uwakilishi, ameitaka Serikali ya Muungano kufanyia marekebisho utaratibu wa Zanzibar kukopa fedha kwa ajili ya maendeleo.

Akichangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) inayoendelea kujadiliwa leo Juni 18, 2026 Mbarouk amesema Zanzibar imekuwa ikikumbana na changamoto ya kuhitaji idhini kutoka Tanzania Bara kila inapokusudia kukopa, hali anayodai wakati mwingine husababisha kucheleweshwa au kukwamishwa kwa mipango ya maendeleo.

Amesema utaratibu huo umekuwa ukileta “chenga za kifedha” na kuathiri kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kisiwani humo, hivyo akataka kuwepo kwa mjadala wa kina kuhusu namna Zanzibar inavyoweza kuwa na uhuru zaidi wa kifedha ndani ya mfumo wa Muungano.

Aidha, amegusia suala la ongezeko la deni la Taifa la Zanzibar, akieleza kuwa baadhi ya Taasisi zimekuwa zikibanwa kifedha, hali inayoweza kuathiri utekelezaji wa shughuli nyingine za Serikali.
Tuvunje tu muungano.
 
Samahani naomba kujuzwa.

Mbunge wa zanzibar anawezaje kuwa mbunge katika bunge la JMT ambalo 95% ya shughuli zake nyingi ni kuhusu bara?

Na je anahudhuria mabunge yote mawili yani zanzibar na huku bara ama anahudhuria moja tu?

Na ikiwa anahudhuria la JMT tu mbona atakuwa anachangia hoja katika mijadala michache sana maana mingi haihusu zanzibar
 
Acheni watu waongee( uzuri mmebaki wenyewe bungeni) tuzidi kuona panapovuja , maana Lissu et al waliongea kipindi kila cha bunge la KATIBA, mkapuuza
Upo sahihi munyampaa!Wangekuwa na wakinzani wasingejafili hayo.Kuna jambo watajifunza kwa kupenda au kutopenda.
 
Samahani naomba kujuzwa.

Mbunge wa zanzibar anawezaje kuwa mbunge katika bunge la JMT ambalo 95% ya shughuli zake nyingi ni kuhusu bara?

Na je anahudhuria mabunge yote mawili yani zanzibar na huku bara ama anahudhuria moja tu?

Na ikiwa anahudhuria la JMT tu mbona atakuwa anachangia hoja katika mijadala michache sana maana mingi haihusu zanzibar
gallow bird
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
 
Hata sisi Mbeya tukitaka pesa tunaenda serikali kuu...mkoa wa zanzibar waache kujikweza.
 
Samahani naomba kujuzwa.

Mbunge wa zanzibar anawezaje kuwa mbunge katika bunge la JMT ambalo 95% ya shughuli zake nyingi ni kuhusu bara?

Na je anahudhuria mabunge yote mawili yani zanzibar na huku bara ama anahudhuria moja tu?

Na ikiwa anahudhuria la JMT tu mbona atakuwa anachangia hoja katika mijadala michache sana maana mingi haihusu zanzibar
Shuleni,kuanzia uraia,civics, GS mnasoma nini siku hizi wenzetu?.. maana hakuna mnalolijua
 
Back
Top Bottom