maamuzi mengine kumpa mtu magumu....
Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign
2...miezi mitano...
Anaandika Malisa Godlisten kwenye akunti yake ya ukurasa wa Instagram "Naitwa @nisebrian naomba unisaidie kupaza sauti kuhusu mdogo wangu Jafari Saidi Kahise. Tarehe 5 June 2026 watu wanne...
Sijui wanajisikiaje Sasa huko waliko?!!
===
Baadhi ya Vijana kutoka Tanzania Bara waliodaiwa kuzuiwa kufanya kazi Zanzibar hadi waoneshe vitambulisho vya Uzanzibari, wameeleza kuwa hawakutengwa...
Kuna jambo huwa linanichanganya sana🤔
Je, elimu imekuongezea akili au imekuondolea upumbavu?
Kwa sababu nimeona watu wenye elimu za juu sana, vyeti vingi na majina marefu, lakini baadhi ya...
Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mhandisi Said Salim Hamad, amesema kuwa mtu yeyote anayetoa maneno ya uchonganishi dhidi ya Muungano, mtu huyo anachuki binafsi na atakufa na kuzikwa kwasababu ya...
Hivi Mwanaume akiwa ana Mahusiano na Mwanamke aliyempenda kisha hadi akazaa nae Mtoto na baadae wakaja Kuachana baada ya Mwanamke huyo Kumsaliti vibaya, siku huyu Mwanaume akiumwa vibaya kiasi cha...
Habari,
Ukweli ubaki kuwa ukweli tu kwani Mwafrika kujiita majina ya kuja kwasababu eti ni wafuasi wa dini za kuja na kuacha majina na dini zao huo ni UJINGA uliopitiliza.
Hivi kweli hata wasomi...
Moja ya hoja nzito ambayo Sisi wahafidhina,wachunguzi wa dini mbalimbali ni kuhusu Qur’an kuwa ni ufunuo wa moja kwa moja kutoka kwa Mungu huku ikiwa na matumizi ya maneno, majina, na dhana za...
Kuna namna Shirika haliwatendei haki wateja wake. Kwa mfano, mimi niliomba kuunganishiwa huduma ya TTCL Fiber tangu mwezi wa pili mwaka 2025. Baada ya maombi yangu kupokelewa, nilipigiwa simu na...
Leo ukianza kuteleza au kuanguka matendo yako.Kuna wazazi watakuita na kukukanya au ndugu na jamaa watakuita na kukushauri.
Kwenye maisha yetu tuna viongozi wa kirohoo mashaikh na wachungaji...
Serikali inapaswa kuliangazia kwa karibu zoezi la uandikishaji wa wanufaika wa TASAF katika Kata ya Nyambureti, Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara, hususan katika vijiji vya Gusuhi, Nyambureti na...
Hallow ndugu zangu nimeulizwa swali kwanini mtu akiwa katikati ya Ibada huwa anatoa machozi? Je anajuta, ni uchungu kwa anayoyapitia au ni imani sana?
Naomba nisaidieni majibu
Sisi wakazi wa Mtaa wa Kisewe, Wilaya ya Temeke, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu utendaji usioridhisha wa kampuni ya MACROBULUBA INVESTMENTS COMPANY LTD ambayo imepewa jukumu la...
Kuna kipindi maishani ambacho hakihitaji kubembelezwa wala kulainishwa. Ni kipindi ambacho mtu anakuwa katikati ya mapambano ya kujenga maisha yake upya. Hapa bado hujafika, bado hujaonekana, bado...
Hivi inakuaje pale JKCI unatozwa viwango tofauti vya kumwona daktar kutokana na kifurushi cha bima, mfano ukiwa na kifurushi cha bima cha juu wanakutoza 100,000/= ukiwa na bima kifurushi cha...
Leo na umri wetu huu wengine tuna wazazi wana mali japo tumezikuta na sisi tuna zetu.
Ila leo mzazi mmoja au wote wakafariki ndio utaona ile nyimbo ya "kwa mali za baba"
Kesi ni nyingi za mali...
Nimejaribu kuiga lakini nimeshindwa, yaani vile navyokula Kuku Mkavu na Pembeni Mayai ya kuchemsha naanza kukumbuka wanangu na Mke wangu.
Sijajua ni Shetani ananifata data au vipi, hata...
Tayari Mfumo mpya wa Android 17 umeshaachiwa Toka Juzi Samsung na Tecno zitaanza kupokea update ya Android 17 Miezi ijayokwenye baadhi ya vifaa vya Android kama vile Google Pixel na baadhi ya simu...
Jirani yangu hapa alistaafu mpaka na sherehee tukafanya ila bado anaendelea na bonus za kutosha.
Ina maana cha kuwalipa pesa kubwa mkaona sasa wabaki waendelee kuwatetea CCM mfike mpaka 2030.