Juzi kati nilitembelea watoto yatima sehemu fulani maporini huko na nikiwa huko nilihisi kung'atwa na kitu then kurudi home wakati naoga nikaona pale mahali pamevimba.Na palivimba na kuwasha sana...
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Cde. Christopher Ngubiagai, ameongoza operesheni ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya shilingi milioni 73,615,000.
Shughuli hiyo ilifanyika mnamo Juni...
Kizimba kilichokuwa kimejengwa katika Kata ya Ramadhani, Jimbo la Njombe, kwa ajili ya kupandishwa bendera ya Chama wakati wa ujio wa Makamu Mwenyekiti, Mhe. John Heche, mkoani Njombe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Namibia Dkt. NETUMBO Nandi- Ndaitwah, leo tarehe 20/6/2026 ikulu Jijini Dar es salaam alipowasili kwaajili ya...
Ofisi ya Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, imewakilishwa na Kerryn Mbatude katika kikao na Benki ya CRDB kilicholenga kuzindua rasmi ushirikiano wa kuwawezesha wananchi wa Buchosa kiuchumi kupitia...
Serikali kupitia Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera amesema mchakato wa kushughulikia suala la Katiba Mpya utatekelezwa na Serikali baada ya kukamilika kwa kazi za Tume inayoshughulikia...
Wanajamvi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwekezaji kutoka china amekabidhiwa na serikali eneo lote.lenye madini ya dhahabu katika wilaya za mkinga na Korogwe.
Katika maeneo ya korogwe ambapo...
Jeshi la Polisi limewataka wananchi kuacha matumizi ya silaha bandia, likisema vitendo hivyo ni makosa yanayokiuka sheria na vinaweza kuhatarisha usalama wa watu na mali zao. Akizungumza leo Juni...
Ukienda nchi za wenzetu huwezi kukuta kibanda kina katisha tiketi ndio upite.
Mfano hapo ferry kwenda kigamboni, daraja la kigamboni na maeneo ambayo siyo lazima.
Siwezi kukubali kusema nchi...
Upo uwezekano tukawa tunaona kuna zigo la misaada kwa nchi ya Tanzania kumbe fedha nyingi zinaishia mikononi mwa NGOs za mifukoni au magharibi hukohuko.
Mbaya zaidi kazi kubwa wanayoifanya ni...
kuna kusoma wakati wakati umepata fursa na muda sahihi.
Dunia ya sasa tunapoelekea mifumo ya kuendesha vifaa vingi inaelekea kutumia umeme sana kuliko mafuta kama vyombo vya usafiri.
Kwa sasa...
WADAU.
Ajira mpya serikalini tunanyonywa sijui ni kwa ufinyu wetu wa maarifa au nitakua mkosefu sana kwa kusema kuna mapapa walioweka mifereji kwa kufanya mifumo rasmi iwe migumu na kutumia huo...
Wana Jamvi
Nawatakia furaha ya kudumu katika maisha yenu.
Naomba kujua bei ya kukodi Buldozer kwa ajili ya kusafishiwa eneo langu....na kwa siku lina kula mafuta(Diesel)kiasi gani?!
Shukran...
Kwamba wale waliopanga kuandamana tarehe 07, sasa wanapanga kufanya Vitendo vya kihalifu
Miongoni mwa vitendo hivyo ni kuhamasisha kufunga barabara, uchomaji moto wa shule ili kusababisha...
Google imeamua kuwapa Nguvu waandaji maudhui wa mitandaoni 😲. Kama ulikua unasoma tu profile za watu maarufu ulimwenguni kupitia Wikipedia Sasa ni zamu ya Content creator bhana 👋.
🔍 Google...
Mradi wa bomba la mafuta ulikuwa umesimama na haki na pesa nzuri.
Ila tokea kuondoka mjomba JPM tu, watu wakaingia front kuanza kuweka vizingiti na kutaka asilimia ya pesa.
Kulikuwa na project...
Kwa sasa ukiwa mpinzani unaweza shangaa umefunguliwa kesi kuwa wewe ni bra bra bra.
Sasa aliyefungua kesi hiyo ni nani?.
Ina maana sasa chama cha CCM kimejivisha kazi yenu kiujumla.
Naomba Serikali na Benki Kuu ya Tanzania kueleza kwa nini huduma za Loan Restructuring na Loan Takeover katika benki kama NMB, CRDB na TCB hazifanyi kazi kwenye mfumo wa ESS?
Huduma hizi...
Habarini,
Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia “watumishi wa kujitolea” licha ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika.
Kuna watu wapo pale...