Gharama ya kukodi bulldozer

1,Gharama kwa saa wengi wao wanatoza 100,000/- kwa saa moja, hivyo itategemea kwa siku limefanyakazi kwa masaa mangapi.

2, Diesel kwa wastan ni lita 160-200 kwa masaa nane lakini pia itategemea ugumu wa hiyo kazi na ulaji wa mafuta wa chombo chenyewe au dereva

3, Operator utamlipa 50k kwa wastani kwa siku/saa 8

4,Gharama za kulichukua na kulirudisha ni zako hivyo mtaelewana na mwenye chombo/kampuni na inategemea na mahala unapolitoa na kulipeleka.
 
1,gharama kwa saa wengi wao wanatoza 100,000/- kwa saa moja, hivyo itategemea kwa siku limefanyakazi kwa masaa mangapi.
2, diesel kwa wastan ni lita 160-200 kwa masaa nane lakini pia itategemea ugumu wa hiyo kazi na ulaji wa mafuta wa chombo chenyewe au dereva
3, operator utamlipa 50k kwa wastani kwa siku/saa 8
4,gharama za kulichukua na kulirudisha ni zako hivyo mtaelewana na mwenye chombo/kampuni na inategemea na mahala unapolitoa na kulipeleka.
Wanapatikana wapi ?
 
1,Gharama kwa saa wengi wao wanatoza 100,000/- kwa saa moja, hivyo itategemea kwa siku limefanyakazi kwa masaa mangapi.

2, Diesel kwa wastan ni lita 160-200 kwa masaa nane lakini pia itategemea ugumu wa hiyo kazi na ulaji wa mafuta wa chombo chenyewe au dereva

3, Operator utamlipa 50k kwa wastani kwa siku/saa 8

4,Gharama za kulichukua na kulirudisha ni zako hivyo mtaelewana na mwenye chombo/kampuni na inategemea na mahala unapolitoa na kulipeleka.
Sasa mwenyewe mbona hana gharama yoyote?? Na unalisafirishaje kwenda saiti?? Naomba kuuliza yanapatikana wapi Morogoro!!
 
Kwa masaa 8.... Wanapiga eka ngani maximum?
mkuu inategemea na eneo jinsi lilivyo au kutokana na uchafu uliopo,
mwaka jana nilikodisha kusafisha shamba lenye maotea ya mkonge/sosolana kuna baadhi ya maeneo yenye miti na vichaka vikubwa ilikuwa inapiga heka tatu tu kwa siku, sehemu nyingine heka 7-8 kwa siku, na kuna sehemu ilikuwa na tope ilipiga heka 1½ kwa siku, la mhimu ni kutafuta mtaalamu acheki hilo eneo kwanza akupe hesabu kamili ili ujipange, yasije kukuta ya kwangu baada ya pumzi kukatikia njiani na kurudisha dude la watu!
 
Back
Top Bottom