Ndugu wanajukwaa,
Naandika ujumbe huu kwa niaba ya baadhi ya Wahudumu wa Afya ya Jamii (CHWs) wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi, ili kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto zinazotukabili...
Wananchi tusiokuwa na kadi za kupandia mwendokasi tumekuwa tukinyanyasika na kudhalilika hasa kwa abiria wenzetu tunawaomba msaada kutumia kadi zao. Mamlaka ziharakishe upatikanaji wa kadi...
Mwakilishi wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mhe. Bi Chum Kombo Khamis amesema kuwa kwa niaba ya wanawake wa mkoa huo, wanaahidi kuilinda na kuihudumisha Muungano wa Tanganyika na...
Muda ni nini hasa?🤔
Kwa wengi wetu, muda ni kipimo kinachotuonyesha sasa ni saa ngapi, ni asubuhi, mchana au usiku
Tunautambua kwa kuangalia saa, simu au hata mwendo wa jua
Lakini je, muda ni...
Baada ya serikali kutoa daladala za Kimara Mbezi hali ilikuwa mbaya sana kwa pande zote, msafirishaji UDart alizidiwa na abiria waliteseka kutokana na mahitaji kuwa makubwa. Mabasi mengi yalichoka...
Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye...
Huu ni Uzi maalumu kwetu sisi vigagula , kwa ajili ya kupeana update za dawa mpya na michanganyo yake kwa lengo la sisi kupandishwa vyeo makazini, kuwaroga mabosi zetu watuachie Mali , kuroga...
Kutafutwa kupendwa na kusifiwa labda wakusifie maiti ambao wengi washatangulia mbele ya haki na kama wapo hizo pesa zitawasaidia nini sasa.
Hata kama mtawapa wachache je faida ya waliojitoa...
Kwamba nikijaribu kujitafta mimi halisi sipo?
Najua utabisha, but honestly hakuna self! Yaani you don't exist, wewe ni kama thought, wazo flani tu ambao liko implanted kama jina, jinsia, baba...
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti amesema vikosi vya Ulinzi na Usalama wilayani humo vimejipanga kudhibiti maandamano yanayotajwa kuratibiwa kufanyika tarehe 7 mwezi Julai (SABASABA).
DC...
Kauli za kuudhi za mara kwa mara kutoka kwa wazanzibari.
Sheria kandamizi za wazanzibari kwa watanganyika
Ubaguzi wa waziwazi wa wazanzibari kwa watanganyika tena wazanzibari wengine...
Juzi kati nilitembelea watoto yatima sehemu fulani maporini huko na nikiwa huko nilihisi kung'atwa na kitu then kurudi home wakati naoga nikaona pale mahali pamevimba.Na palivimba na kuwasha sana...
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Cde. Christopher Ngubiagai, ameongoza operesheni ya kuteketeza zana haramu za uvuvi zenye thamani ya shilingi milioni 73,615,000.
Shughuli hiyo ilifanyika mnamo Juni...
Kizimba kilichokuwa kimejengwa katika Kata ya Ramadhani, Jimbo la Njombe, kwa ajili ya kupandishwa bendera ya Chama wakati wa ujio wa Makamu Mwenyekiti, Mhe. John Heche, mkoani Njombe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Namibia Dkt. NETUMBO Nandi- Ndaitwah, leo tarehe 20/6/2026 ikulu Jijini Dar es salaam alipowasili kwaajili ya...
Ofisi ya Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, imewakilishwa na Kerryn Mbatude katika kikao na Benki ya CRDB kilicholenga kuzindua rasmi ushirikiano wa kuwawezesha wananchi wa Buchosa kiuchumi kupitia...
Serikali kupitia Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera amesema mchakato wa kushughulikia suala la Katiba Mpya utatekelezwa na Serikali baada ya kukamilika kwa kazi za Tume inayoshughulikia...
Wanajamvi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwekezaji kutoka china amekabidhiwa na serikali eneo lote.lenye madini ya dhahabu katika wilaya za mkinga na Korogwe.
Katika maeneo ya korogwe ambapo...
Jeshi la Polisi limewataka wananchi kuacha matumizi ya silaha bandia, likisema vitendo hivyo ni makosa yanayokiuka sheria na vinaweza kuhatarisha usalama wa watu na mali zao. Akizungumza leo Juni...
Ukienda nchi za wenzetu huwezi kukuta kibanda kina katisha tiketi ndio upite.
Mfano hapo ferry kwenda kigamboni, daraja la kigamboni na maeneo ambayo siyo lazima.
Siwezi kukubali kusema nchi...