Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Quote (Nyumba zaidi ya 180 zimeuzwa kutokana na wakopaji kushindwa kulipa madeni bank kutoka jan 17 mpaka sasa. Sheria itatungwa, madalali wasajiliwe na walipe kodi. Haiwezekani dalali auze...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Za mchana wakuu?Mm nipo salama salmini. Nimeshuhudia mara kadhaa magari ya viongozi wakuu wa Serikali mfano Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Katibu Mkuu Kiongozi, Mwanasheria Mkuu, Spika/Naibu...
1 Reactions
47 Replies
8K Views
Dar es Salaam. Katika kuadhimisha siku ya wahandisi, bidhaa za ubunifu likiwemo gari la kubeba mizigo litakalotumia injini ya pikipiki zitaonyeshwa. Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano sehemu ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga amesema daraja la Kigamboni litaanza kutumika kuanzia Machi mwaka huu. Akizungumza mara baada ya...
2 Reactions
62 Replies
8K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yawaomba wananchi kutoa ushirikiano kwa kutoa taarifa za Maafisa wanaofanya kazi kinyume na maadili. Akiongea na mwandishi wa habari hii leo Jijini Dar es salaam...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mchungaji wa Ufufuo na uzima amerejea nchini kutoka katika ziara alizokuwa nazo yapata miezi miwili na nusu tangu asafiri alianza ujerumani akaenda japani akaenda Australia akamalizia kwa Trump...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Wakati Tanzania ikiwa nchi ya pili kwa wingi wa mifugo barani Afrika mchango wa sekta ya maziwa kwenye pato la taifa ni asilimia 2.5 tu huku takwimu zikionyesha endapo uzalishaji wa bidhaa hiyo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Shirika la Posta Tanzania limekusanya madeni ya muda mrefu Sh. bilioni 7 na milioni 600. Imeelezwa kuwa madeni hayo ni kutoka katika taasisi mbalimbali za serikali, mashirika ya umma pamoja na...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Shirika moja la kutetea wanyama nchini Kenya limesema bei ya Punda imepanda maradufu nchini humo kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya nyama ya mnyama huyo nchini China taifa ambalo hununua kwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkuu wa Tehama na Uendeshaji Bw. George Wandwalo akibonyeza kitufe kuashiria kuanza kwa droo iliyomuibua mshindi wa kiwanja Bi. Dora Olotu katika droo iliyochezeshwa leo jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii imetokea huko kwenye wilaya wakati raia huyo anahojiwa na DC mbele ya polisi DC akamchapa kibao raia mwema Je, kwanini polisi wasimkamate DC palepale kwakuwa ameshambulia?
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Mtanzania Amancio Gomes mwenye umri wa miaka 20 ni na mwanafunzi alieye bobea katika urushaji wa ndege huko Afrika ya kusini katika chuo maarufu kijulikanacho kwa jina la Africa college of Aviation.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Leo nimesikia hili neno likawa geni kwangu. Wababa wasiojiweza wakoje? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kataa usikatae, kusoma sana ni kupoteza mda Wengi wanaofanikiwa sana ni wale waliopanga maisha au ambao hawajapoteza miaka yao mashulen Kwa nchi zilizoendelea kusoma ndio dili sana
5 Reactions
55 Replies
7K Views
  • Redirect
Wote wanaoshiriki kinyume na sheria na amri za mahakama kunasiku mtabomolewa pia mana anae furahia na kufurahishwa na mnacho fanya (msukuma) mwenzenu anakinga ya mashtaka. Vyema konekana hufanyi...
0 Reactions
Replies
Views
Shaka Ssali mtangazaji gwiji wa "Voice of America" yuko Dar Es Salaam hivi sasa akijiandaa kwa matangazo maalum ya #StraightTalkAfrica. Matangazo hayo yatakujia moja kwa moja kutoka studio za...
12 Reactions
64 Replies
29K Views
Ndugu wa DAWASCO Wanachi wa Mbwepande na Bunju B, bado tuna kilio kikuu cha maji safi ya bomba. Wiki mbili kwenye mkutano wa Mkuu wa Mkoa na watendaji wa mkoa wa Dar, nilisikia Mkurugenzi mkuu...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Nyerere alijenga Morogoro Road, Mkapa akajenga Morogoro Road, Kikwete akajenga Morogoro Road, Rais Magufuli anajenga Morogoro Road Something must be wrong with Morogoro Road Usione Nipo Kimya...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Kufuatia changamoto ya wananchi kushambuliwa na tembo na kuuawa pamoja na mashamba yao kuharibiwa mkoani Ruvuma Shirika la uhifadhi mazingira duniani(WWF) limedhamini mafunzo ya miezi mitatu kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kumekuwa na marumbano ya hoja juu ya Rais wa TLS kutoa tamko la mgomo, kwanza kama yuko serious na huu mgomo angeanzia leo tarehe 28/ 8/2017 siku ya kesi yake Kisutu tungejua kweli anamaanisha...
14 Reactions
115 Replies
10K Views
Back
Top Bottom