Lipumba kwenye uchaguzi wa mwaka 1970

Iruru

JF-Expert Member
Jan 27, 2014
1,470
2,864
Katika pitapita zangu nimekutana na makala moja kwenye gazeti la citizen ya uchaguzi wa mwaka 1970. Pamoja na kukutana na wakongwe wengi wa siasa za enzi hizo akiwemo mzee Wasira, hili la Lipumba kushindwa kwenye uchaguzi huo limenifanya nipate maarifa mapya.
Kumbe mzee wangu huyu alianza game la siasa muda mrefu huku akikumbana na na visiki vilivyo mjeruhi kila mara.
Nimeweka kiambatanisho kidogo, link imegoma kabisa kujiattach hapa yenye makala yote.
Screenshot_20200414_154038_com.android.chrome.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom