Sina shida na kina mama wanaofanya maamuzi yao kwenda kwenye makanisa ya fake pastors, ila nawaonea huruma sana watoto wanaopelekwa huko.
Mtaji mkubwa wa makanisa mengi ya aina hii ni akili...
Maneno huwa hayamtoki mtu bure ujue ni sehemu ya mawazo yake na moyo wake ulivyo. Ndioomaana ukisikia lugha za hatari kutoka kwa mtu chukua tahadhari naye mapema , mtu anapimwa kwa matendo na...
Wakuu...! Tusemezane ukweli....!
Maandamano Kwa ajili ya nini? ili iweje? Kwa nini mpaka tuhamasishwe kuandamana kama kweli tunahitaji maandamano yaliyobeba ajenda?
Binafsi nimechagua amani na...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa msaada wa Euro milioni 20 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 60.7 kutoka Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia...
Nikiwa Ubungo Riverside, nimebaini kuwepo kwa changamoto kubwa ya uondoaji wa taka ambapo huduma hiyo imekuwa ya kusuasua kwa muda sasa. Hali hii imesababisha taka kurundikwa kando ya barabara na...
Habari wakuu,
Siku hizi tupo zama za teknolojia ambapo mambo mengi yanaendeshwa kidigitali zaidi.
Kundi kubwa wanaonufaika sana na Majukwaa ya Mitandao ya Kidigitali ni wafanyabiashara. Utakuta...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema Serikali imetenga Shilingi milioni 100 kwa ajili ya kuwazawadia wananchi watakaotoa taarifa sahihi zitakazosaidia kubaini na kuzuia...
Wakenya wanajua uwanja wa Serengeti ukijengwa tunaenda kuwapiga gap kubwa wanalijua hilo
Hivi sasa wakenya wameshaanza ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa karibu na Masai Mara, hii ni mbuga...
wanawake wapo wapi hapa ?
wanawake mko wapi ?
najua wapo baadhi wanaochomoza, lakini huwezi kuwaweka kwenye mizani moja na wanaume. 50/50 inatoka wapi ?
salaam,
Wakuu kizazi hiki tunaangamia huku tunachekelea. Nimekutana na video ticktock MADHARA YA HIZI ENERGY. Oya weka dhamira ya kuachana nazo. Tazama mwenyewe link hapo chini...
KATIKA UISLAMU mtoto wa nje ya ndoa (mtoto wa zinaa) hana haki ya kurithi mali ya baba yake kibiolojia kwa sababu hakuna uhusiano wa kisheria wa kifamilia kati yao.
Hata hivyo, mtoto huyo anayo...
Wakuu, naomba nizungumze na wale wazee wa jiji ambao kazi yao kubwa mjini ni kubadilisha namba za umri kwenye vitambulisho, lakini maisha yao yamesimama kama sanamu ya Posta.
Hivi inakuwaje...
"Kifo chako kitakuja siku ya kawaida, katikati ya mipango ambayo haijakamilika, na dunia itaendelea bila wewe. Hivyo basi, ishi kidogo."
Kifo chako hakitakuja kwa tangazo au maandalizi maalum...
Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa chama cha upinzani CHADEMA kwenye Moja ya mikutano yake akisema posho ya mmbunge mmoja Kwa kikao ni shilingi laki nane. Mimi kulagha siamini kama hilo linaweza kuwa...
Serikali imewahimiza wanawake kujitokeza kumiliki ardhi na kutumia fursa zilizowekwa kwa kupitia Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la Mwaka 2023 ili kuendelea kunufaika na fursa...