Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mapema usiku wa tarehe 16/3/1996 viongozi wa Rwanda, Uganda, Sudani kusini na Ethiopia pamoja na kiongozi wa AFDL Laulent kabila walisaini “Makubaliano ya mkataba wa Lemera”. Mkataba huu ulikuwa...
13 Reactions
24 Replies
3K Views
Anonymous
Naomba kujua hvi taifa letu like limekuwa dhaifu kiasi ambacho tumeshindwa kutatua changamoto ya mtandao kwenye sekta muhimu kama uhamiaji? Mfano: Ofisi ya uhamiaji morogoro inaweza kukaa wiki au...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Anonymous
Ofisi za NIDA ni changamoto kubwa kwa wananchi. Unapeleka maombi yako na yanakaa hata miezi mitatu bila kushughulikiwa. Ukifuatilia, unaambiwa hukukamilisha taarifa fulani, na kibaya zaidi unaweza...
1 Reactions
0 Replies
125 Views
Mwaka gani ulikutana na tatizo la afya ya akili na kipi kilipelekea kukutana na tatizo hilo? Nakumbuka nadhani ilikuwa mwaka 2020 na 2022 nilipata mawazo na msongo mkubwa baada ya kuenea corona...
0 Reactions
9 Replies
210 Views
Huyu jamaa ameendelea kutoa hamasa ya vijana kujituma katika masomo. Hatimae amekuwa Profesa wa uchumi katika chuo kikuu cha Dar es Salaam. Pia soma Martin Chegere ni mmoja wa hazina ya vijana...
5 Reactions
71 Replies
1K Views
Je, umewahi kujiuliza kwa nini watu wengi wanatoa sadaka kwa miaka mingi lakini maisha yao bado yamekwama kwenye umaskini, hofu, na madeni? Wengi wanaelewa sadaka ni kama biashara ya...
3 Reactions
1 Replies
148 Views
Mahali popote mbali na nyumba kutoa mkoa wako wanataratibu zao za kuishi kijamii watu wengi wanashindwa kuishi sehemu nyingine kwasababu wameshindwa kufuata taratibu za mahali huko Iko hivi mfano...
1 Reactions
13 Replies
193 Views
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge, amesema kuwa kuna makosa yaliyofanyika katika matumizi ya eneo la wazi la Biafra, Kinondoni, ambalo limeanza kutumika kwa shughuli tofauti...
0 Reactions
19 Replies
441 Views
Wakuu, salamu. Katika mali ambazo natamani sana kumiliki basi ni Dhahabu. Tayari nina viwanja, sasa nataka kumiliki Dhahabu. Naombeni mwongozo.
5 Reactions
15 Replies
218 Views
Malengo makuu ya miundombinu ya mabasi ya mwendokasi (BRT) ni kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri wa haraka na salama jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, lengo hili linahujumiwa...
1 Reactions
12 Replies
334 Views
Hivi nyie wanaume mnaojaza watoto mitaani bila mpango mnafikiria kweli? Eti kila mtoto anakuja na sahani yake au baraka zake. Sahani gani hiyo? Mtoto anahitaji maandalizi, sio maneno ya...
6 Reactions
36 Replies
516 Views
Jaman kuhusu maji Kata ya Nyampande Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ni janga kubwa, tuna mabomba ila maji ni kitendawili, Waziri kaja Mwanza jiji, viongozi wetu wanajua lakini bado hawajatatua...
0 Reactions
2 Replies
151 Views
Wakuu, Kuna dada ameshea story yake juu ya mambo aliyokuwa anafanya chuoni kutokana na mkumbo na tamaa, mambo yaliyopelekea anajutia mpaka kesho na kuwaasa mabinti kuwa makini. Mwenye sikio na...
15 Reactions
75 Replies
6K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amependekeza kila mwendesha bodaboda nchini achangie shilingi 1,000, hatua ambayo imeendelea kuzua mjadala bungeni na miongoni mwa wadau mbalimbali...
1 Reactions
11 Replies
294 Views
Habari wanajamvi... na samahani kwa habari isiyo ya kicelebrity... Naomba msaada wa kutajiwa jina na maeneo ya vituo vya Kulea watoto yatima vinavyopatikana jijini Dar. Natanguliza shukrani za...
1 Reactions
12 Replies
35K Views
Anonymous
Imekuwa ni tabia endelevu, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa MAWENZI. Watumiehi wake wamekuwa wakifanya kazi kwa mazoea katika idara zote kwanzia Emergency hadi Mochwari. Chumba cha kuhifadhia maiti...
0 Reactions
2 Replies
152 Views
"Maamuzi toka juu yalichangia kwa 99.9% kwa kilichotokea, Mhusika Mkuu aombe Radhi bila ya kuona Aibu au kuona kuwa atajishusha Hadhi na ahakikishe wale Wote waliotekeleza wanakamatwa na Sheria...
7 Reactions
13 Replies
314 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…