Habari wanajamvi... na samahani kwa habari isiyo ya kicelebrity... Naomba msaada wa kutajiwa jina na maeneo ya vituo vya Kulea watoto yatima vinavyopatikana jijini Dar. Natanguliza shukrani za dhati.
Mubarikiwe kwa upendo wenu:- pokea
1.Msimbazi orphan home ipo Ilala...
2.Malaika orphan home ipo Mwanayamala/kinondoni...
3.Kurasini nyumba ya Yatima io Kurasini-Temeke
4.Mwanandaliwa yatima Center ipo boko kinondoni bagmyo rd.....
5.Yatima Group trust ipo Mbagala chamai - temeke....
6.Madina children home ipo tandale.....
7.Mahabusu ya watoto yatima ipo Upanga.....
8.Umra yatima center ipo Magomeni....
9.Hanifat Islamic orphan center ipo Chang'ombe Toroli....
10.Umm L Muuminin orphanage center ipo Vingunguti....
11.Moyo Moja yatima center ipo Bagamoyo......
12. mtoto juwani/Child in the sun ipo Kimara.....
kila la heri Msaada wangu natangulia kwa kunyanuwa mikono juu Moula awape nguvu kuleea watima na wajaane.AMIN