Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,723 Reaction score 19,704 Jun 24, 2026 #1 Hivi inakuwaje wanakijiji tunachangishwa mchango wa madawati ili hali tunaambiwa elimu bure? Naficha jina la shule na kijiji ila jambo hili liko sawa?
Hivi inakuwaje wanakijiji tunachangishwa mchango wa madawati ili hali tunaambiwa elimu bure? Naficha jina la shule na kijiji ila jambo hili liko sawa?
Bungurere JF-Expert Member Joined Jan 24, 2023 Posts 421 Reaction score 502 Jun 25, 2026 #2 Ni afadhali utoe kwani wewe hujaskia wenzio wanachangishwa pesa za kujenga barabara.
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 12,081 Reaction score 27,376 Jun 25, 2026 #3 Natamani Kuishauri selikali wanafunzi wawe wanalipa Ada walau 50000 kwa Mwaka. Hakuna Elimu ya Bure. Tunahitaji Elimu Bora. Jumamosi nilikuwa naongea na Mwanafunzi mmoja ananiambia wanalipa. 1. Fedha ya Chakula. 2. Cedha ya Mlinzi. 3.Tution. 4. Mitihani. 5. Fedha za Tshirt. 6. Vitabu nk Michango ni Mingi mno
Natamani Kuishauri selikali wanafunzi wawe wanalipa Ada walau 50000 kwa Mwaka. Hakuna Elimu ya Bure. Tunahitaji Elimu Bora. Jumamosi nilikuwa naongea na Mwanafunzi mmoja ananiambia wanalipa. 1. Fedha ya Chakula. 2. Cedha ya Mlinzi. 3.Tution. 4. Mitihani. 5. Fedha za Tshirt. 6. Vitabu nk Michango ni Mingi mno