Jana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini...
Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?...
Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada,
yaani waishi katika misingi ya asili,
je...
Kero yangu ni kwa Diwani wa Kata ya Uru Kusini ambaye amekuwa akifanya maamuzi juu ya ardhi, ilhali natambua Diwani hana mamlaka ya moja kwa moja kiutendaji, kiufundi au kukamilisha ardhi kwa mtu...
Unatafuta mwalimu bora wa kumfundisha mtoto wako nyumbani?
Elite Home Tuition tunakupatia walimu wenye sifa, uzoefu na uwezo wa kufundisha kulingana na mahitaji ya mwanafunzi.
🌍 TUNAFUNDISHA...
Mfanyabiashara wa miamala ya fedha Bi. Vaileth Libaba mwenye umri wa miaka 34, mkazi wa Shewa Kata ya Mwakibete Jijini Mbeya, ameuawa na kuporwa fedha taslimu shilingi 300,000/= na simu zake mbili...
Leo nimekaa nikawaza kama Dinosaurs waliweza kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia ikikaridiwa namba yao ilikuwa 2.5 billion, miaka milioni 65 iliyopita basi kuna uwezekano mkubwa wa binadamu nao...
Kwanza niseme tu mimi siungi mkono ushoga lakini pia namuomba sana Mungu aniepushe mimi na kizazi changu kwenye hali yoyote inayohusu LBGTQ
Watu wanaopromote ushoga ndio wetu ambao wanaongoza...
🌍 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha pendekezo la Afrika la kuwa na ramani mpya ya dunia inayoonesha uhalisia wa ukubwa wa maeneo.
🟢 Waliounga mkono: 164
🔴 Waliopinga: 1
⚪ Waliojizuia...
Miezi michache iliyopita nilikuwa Mbeya kikazi, nilijionea mazingira ya kuwepo kwa tatizo la ajira kwa vijana
Mandhari ya jiji la Mbeya imesambaa kwenye wilaya tatu ambazo ni, Mbeya CBD, UYOLE...
Msimu wa Saba wa kampeni ya kuhamasisha unywaji wa kahawa umezinduliwa rasmi huku msisitizo mkubwa ukiwa kwa watanzania kujenga utamaduni wa kunywa kahawa ikiwa ni mkakati wa kukuza soko la ndani...
Habari JF ,Ligi kuu Uingereza na JamiiForums fantasy premier league zimerudi , jiunge sasa kupitia Code wemf7z
au autojoin kupitia
https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/wemf7z...
Hi guys,
Nawezaje kupata watoto mapacha?, ikiwa kuna mtu ana uelewa juu ya jambo hili naomba kufahamishwa tafadhali.
Najua humu jukwaani kuna ma great thinkers wa kutosha.
Naomba kuwasilisha.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema ni muhimu Wafanyabiashara kuwa na maisha yanayoendana na kipatao chao .
Mtaka amesema hayo leo Julai 13, 2026 wakati akizungumza na Wakulima wa...
Mama mmoja, kwa jina la Kalie Robins, ameibua wasiwasi kuhusu namna tool ya Meta AI inavyoweza kutumia taarifa zilizowahi kuchapishwa mtandaoni kukusanya na kuhusisha taarifa binafsi.
Kwenye...
Wanabodi,
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。
Mara moja moja haswa siku za Jumapili ninapojikuta nina nafasi, nitakuwe...
Katika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, kuna yard ya magari ya mwendo kasi. Kumekuwa na tatizo la maji ya DAWASA kuvuja na kutiririka katika eneo...
Wadau nataka kucreat account Katika mfumo wa E-Ardhi ila niliweka NIN na Namba ya simu sehemu ya ENDELEA haipo active nawezaje kusolve hili?.
Lengo ni kusajili DEEP POOL.