Unakumbuka Ze Utamu? Ile kesi iliishaje?

Unakumbuka Ze Utamu? Ile kesi iliishaje?

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Kumbukumbu zangu zinakumbuka mmiliki wa mtandao huu alikamatwa na mtandao huu ulifungiwa. Taarifa za wakati ule zilionyesha ni mtoto wa kigogo flani na aligundulika baada ya kumzalilisha Rais Jakaya.

1. Alishitakiwa Mahakama ipi?
2. Hukumu ya Ze utamu ilishatoka?
3. Au kwa kuwa kulikuwa hamna sheria ya udhibiti wa mitandao jamaa alipeta?
 
Umeshasema alikuwa mtoto wa kigogo hivyo kesi itakuwa ilienda kikubwa zaidi, anyway mi nataka nione hizo picha za mkuu wa kaya, alikuwa tayari ana tezi dume?
 
Kumbukumbu zangu zinakumbuka mmiliki wa mtandao huu alikamatwa na mtandao huu ulifungiwa.
Taarifa za wakati ule zilionyesha ni mtoto wa kigogo flani na aligundulika baada ya kumzalilisha Rais Jakaya
1.Alishitakiwa mahakama ipi?
2.Hukumu ya Ze utamu ilishatoka?
3.Au kwa kuwa kulikuwa hamna sheria ya udhibiti wa mitandao jamaa alipeta?

Ungekuwa wewe ungemshitaki kwa sheria ipi? Mbona unauliza na kujijibu mwenyewe?
 
Kumbukumbu zangu zinakumbuka mmiliki wa mtandao huu alikamatwa na mtandao huu ulifungiwa. Taarifa za wakati ule zilionyesha ni mtoto wa kigogo flani na aligundulika baada ya kumzalilisha Rais Jakaya.

1. Alishitakiwa Mahakama ipi?
2. Hukumu ya Ze utamu ilishatoka?
3. Au kwa kuwa kulikuwa hamna sheria ya udhibiti wa mitandao jamaa alipeta?
Unauliza unachojua au usichojua?
 
Si nasikia ilikuwa inamilikiwa na mtoto wa Malecela, yule nani sijui, hata sikumbuki jina lake lakini anapenda sana kutumia maneno "you know" na "mabebies" kwenye mawasiliano yake. Ehe sorry vipi ile sheria ya mitandao imeishapitishwa au bado, nisije nikaingia mtegoni hapa. Yeah nimekumbuka jina lake ni William Malecela.

Tiba
 
Mi sijaelewa kitu hapo, ze utamu ni nani?

Naona kijana umeanza kufungua mitandao wakati wa internet za bure bure hizi nini?

Dah!!! ze utamu waliweka picha ya 'kiranja mkuu' akikamuliwa uwemba huku uso wake ukiwa umejaa lile tabasamu lake maarufu...

Ilikuwa shughuli wakti huo aisee!!!
 
Hamna mtu yeyote anaeweza kua na ile shughuli kwenye databox zake
 
Back
Top Bottom