Ladha alisi ya maisha

Ladha alisi ya maisha

Nikimuangali sana mtoto mdogo yeyote yule napatwa na isia kali ya kukili kua iki ndicho kiumbe kinachopata ladha alisi ya kufurahia maisha mazuri apa ulimwenguni lakini kadri ninavozidi kumtazama najikuta nahanza kumuonea uruma na kujisemea moyoni masikini punde tu atahanza kupata ladha tofauti na hii anayoipata sasa
Watoto wa matajiri ndiyo wanafurahia maisha.

Fikiria Abdul anaendasha gari ya Bilioni 5
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom