Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madalali wa Mahakama Juni 30, 2026, amewataka majaji na watendaji wa sekta ya sheria kuhakikisha wanakuwa na uwezo wa...
Vita za Iran na Ukraine zilikuwa ni vita zilizokuwa hazina ulazima na zilizokuwa zinaepukika lakini kiburi na kujiona una nguvu kubwa ndio vimeiinginza Dunia katika hasara kubwa ya kiuchumi, vifo...
Mohamed Said haijalishi utaandika vitabu vingapi, haijalishi utafanya interviews ngapi, haijalishi utashingiliwa na wangapi ila tambua wewe ni mtu ambae upeo wako unaishia kuzunguka katika dini...
Mtandao wa X umefafanua upya maana ya alama yake ya bluu (Blue Checkmark), ambapo mtandao huo umedokeza kuwa kuanzia sasa (Verification Mark) alama ya bluu haimaanishi tena kuwa akaunti...
Iko hivi, kuna mchungaji mmoja ambaye pengine ni mke wa mtu ameelezea vizuri kabisa kwamba hajasoma degree nne ili aje kufua boksa chafu za mume wake.
Kimsingi, yuko sahihi, kila mtu ashikamane...
Kwa miaka ya sasa hivi million 10 sioni kama ni mtaji tosha katika biashara, hasa hizi biashara za kukaa kusubiri wateja, kwasababu frame za biashara (mahali palipochangamka) ni kama zimeisha na...
Habari ,naomba kufichua uovu kuhusu Bar inayoitwa G Seven iliyopo mkoani Mwanza sehemu inaitwa Darajani Kata ya mkolani ,
Bar hiyo imekuwa ikipiga muziki usiku kucha Kwa sauti ya juu Jambo...
Hivi humu jukwaani unaweza kua content creators na ukalipwa iwe kwa uandishi au hata kupost vichekesho n.k hasa uandishi mana JF wengi ni waandish je? kuna kipengere cha kulipwa?
KARIBUNI
Yawezekana kabisa mtu akajikuta katika mazingira magumu na yakamsababishia maumivu, na maumivu hayo yakapelekea akaharibu zaidi.
Mtumishi wa Mungu huyu anaongea mambo kuhusu maisha ya ndoa...
Huyu ni mtu aliyetuanzishia forum hii na kufanya vema kama ilivyokuwa wikileaks ya majuu, hii tunaitambua JF kama Swahili Wikileaks,
Kwa haraka haraka huwezi ona umuhimu wake mpaka pale...
Asalamu Alaikum ndugu,
Naomba muongozo kutoka kwa wahusika, hasa Kikosi cha Jeshi la Polisi Kitengo cha Barabarani na viongozi wengine.
Hapa mjini (Kata ya Sahara, Wilaya ya Nyamagana jijini...
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33), anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashitaka mawili likiwamo la kujipatia Sh5.1 bilioni kwa njia ya udanganyifu, amefikisha...
NAUZA AKILI
Nilipogundua wanaosali Sana ndio wanaoongoza kwa masengenyo na negativity, niliamua kua karibu na mimea kuliko waabudu hadithi za Oxford university,
maarufu kama neno la mungu...
1. VIBURI
Wamejaa Dharau Na Ujuaji kwenye kila kitu Hawataki kuelekezwa wala kurekebishwa
2. UVIVU
Hawapendi Kazi Wana Excuse Nyingi kila Siku kwenye kila kitu
3. TAMAA
Hawapendi Process...
Hua napenda kuona picha na video zenye ubora sasa sijui nani anaetoa ubora huo je, ni TV yangu nitakayonunua,mtoa huduma wa izo picha mf channel zenyewe au ubora wa vinasa picha na video?
Wahusika wa huduma ya ttcl faiba hamtendi haki. Toka Jumapili Asubuhi hakuna huduma maeneo ya Chang'ombe maduka mawili. Inafikirisha sana. Labda mnataka wateja wahamie kwa kampuni zingine. Hili...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam. Kampuni ya Puma Energy Tanzania imekabidhi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania gawio la kihistoria la shilingi bilioni 15, ikiwa ni gawio kubwa zaidi...
Jana majira ya saa mbili usiku dereva wa mbunge Mh. John Heche anayejulikana kwa jina la SUEZ DANIEL MARADUFU alivamiwa na watu wasiojulikana na kushambuliwa kwa kukatwa katwa na mapanga kichwani...