Hakika mtu ukiwa hauko karibu na maeneo tajwa hapo juu,unaweza ukadhani Tanzania Haina hata kimoja inachouza nje lakini sio kweli bidhaa nyingi tu zinapelekwa nje ya nchi.
Kwa mfano hapa kiwanda...
Yule Zuwena Wa Jana Sio Wa Leo Tena,Yule Zuwena Mpole,Mnyenyekevu na Muungwana Si Huyo Tena,
Kawa Kiburi,Mjivuni Na Asiejali Lolote tena.
Ama Kweli Muda Ni Kamera Sahihi Ya kutoa Taswira Halisi...
Wakuu Habari za Uzima, Wapi naweza Nikapata Sehemu ya Kujifunza Kupiga Picha "Photography" !? Sina Pesa ya kujifunzia ila nikipata Mfadhili au Sehemu ya kujifunzia Bure Nitashukuru, Nimeona niwe...
Mimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa.
Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu...
Ikiwa leo ni siku ya biashara, wengi wangetarajia shughuli za kiuchumi kushamiri. Badala yake, baadhi ya wafanyabiashara wamefunga maduka yao, huku waendesha bodaboda wakisema idadi ya wateja...
Hata ufie ukiwa ofisini ila nauliza tu Je baada ya utawala mwisho wako utakuaje kama usikilizi viongozi wema wadini sio wanaokusifia.
Sawa ukawa umetoka kwenye utawala ndio hawa wanaolalamika...
Samahani wakubwa nimeuza vitu vyangu kadhaa nimepata Shilingi elfu hamsini,
nahitaji hii Hela isipotee maana sijui nitapata lini Tena.
Naombeni wazo la shughuli ya kufanya Kwa kutumia kiasi hiki...
Kwa sasa kila idara kila sehemu ya taasisi zote za serikali zipo mikononi mwa CCM.
Anachotafuta ni nani wa kumlinda.
Nakumbuka hata maanguko mengi ya nchi hii ndio steji huwa wanatafuta wa kuwa...
Wakuu, leo nataka niwape simulizi ya kweli kabisa ya mdada mmoja anaitwa Irene niliyekuwa namfahamu vizuri sana miaka michache nyuma.
Hii simulizi iwaendee wale dada zetu wanaoishi mjini kwa...
Nyerere kuna nukuu yake alisema " Yesu kuna mda hakutoa majibu ya maswali sababu Wanafunzi wake walikuwa kama marofa"
Neno Rofa tumeliona mfano hapo bungeni angalia walivyokuwa wakimsifu magufuri...
Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida
Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu.
Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja...
Waziri mkuu alidai kuna watanzania waliokamatwa na USD milioni 1 ila hii taarifa kama na yeye kaunganisha ili mradi kuleta porojo zake za maisha ya CCM.
Wale waliokamatwa kweli ni watanzania ila...
Ukiangalia bajeti iliyotumika kabla kupangwa mfano kutumia vyombo vya habari,makundi ya mwaipopo,wasanii,mitandao ya kijamii,propaganda za kulipa watu,nguvu kubwa na vyombo vya ulinzi.
Leo tarehe...
Kuna baadhi ya mambo hayaingii akilini kabisa:
1. Mnasema mwenye ushahidi wa ubadhirifu unaofanywa na mtumishi wa umma au kiongozi aulete. Je, kweli ni jukumu la mwananchi wa kawaida kufanya...
Leo, tarehe 7 Julai 2026, Jiji la Dar es Salaam limeshuhudia mtihani mzito wa kisaikolojia baada ya barabara kuu kuwa tupu na maduka mengi kufungwa, kufuatia hofu ya maandamano yaliyohamasishwa na...
Kipimo sahihi na kikuu cha kisheria na kimatibabu kwenye kesi ya ubakaji ni uchunguzi wa kina wa kimatibabu (Medical Examination) unaofanywa na daktari aliyeidhinishwa, akitumia fomu maalum ya...
Unaweza kutofautisha ukimya na ujeuri?
Kuna msemo unasema Silence is golden
Ni kweli, lakini not every silence is wisdom
Kuna watu wanaonekana ni wakimya, na kweli wanaweza kuwa wakimya kwa...
Habari wanajf.
Najihisi kuwa na furaha na amani tele.Nimejikuta ninaOVERCONFIDENCE hatari mbaya kabisa😀😀😀.
Sielewi ni kwanini ila nametokea kuwa mpenzi wa makala na maandiko ya wanafalsafa wale...