Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yani mtu unajua kama ana umeme lakini anasambazia wenzie kama hana akili timamu.. SwaliKwanini unasambaza VVU kwa makusudi?? #Ukimwi upo na unaua pima mapema jitambue chukua tahadhari.
17 Reactions
201 Replies
3K Views
Hali ya taharuki imetawala katika Mtaa wa Mabibo Sahara Jijini Dar es salaam baada ya Watu zaidi ya 30 wakidai kupangishwa chumba kimoja na Mtu anayetajwa kuwa Mmiliki wa nyumba, ambaye kwa sasa...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
  • Featured
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewataka wananchi kupuuza wito wowote unaohamasisha vurugu na uvunjifu wa amani, likisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya...
23 Reactions
124 Replies
4K Views
Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni. 📢 Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia...
7 Reactions
27 Replies
654 Views
Leo nilikuwa na rubani tukipata bia nyumbani. Ananiambia hakuna mtu mwenye akili timamu ukaweza kumpa ndege za urusi ambazo zimejaa saa kila kona kiufupi ni vipima vyilivyo kwenye mfumo...
0 Reactions
2 Replies
121 Views
Hakika mtu ukiwa hauko karibu na maeneo tajwa hapo juu,unaweza ukadhani Tanzania Haina hata kimoja inachouza nje lakini sio kweli bidhaa nyingi tu zinapelekwa nje ya nchi. Kwa mfano hapa kiwanda...
11 Reactions
15 Replies
1K Views
Yule Zuwena Wa Jana Sio Wa Leo Tena,Yule Zuwena Mpole,Mnyenyekevu na Muungwana Si Huyo Tena, Kawa Kiburi,Mjivuni Na Asiejali Lolote tena. Ama Kweli Muda Ni Kamera Sahihi Ya kutoa Taswira Halisi...
0 Reactions
3 Replies
76 Views
Wakuu Habari za Uzima, Wapi naweza Nikapata Sehemu ya Kujifunza Kupiga Picha "Photography" !? Sina Pesa ya kujifunzia ila nikipata Mfadhili au Sehemu ya kujifunzia Bure Nitashukuru, Nimeona niwe...
2 Reactions
8 Replies
115 Views
Mimi naona sasa ifike wakati wa Tanzania tukubali ya kuwa hii inchi hatuwezi kuikomboa. Nchi haiwezi kukombolewa kwa sasa, maana hakuna opposition nje ya chama kilichopo madarakani chenye nguvu...
5 Reactions
95 Replies
1K Views
Kwamba tar 23, ndio 40 ya dogo. Sasa maza kageuza mtaji kwa kuchaji laki 1, 3, 5 na Mil 5 kumuona bwana mdogo. Watu mna hela za mchezo.
12 Reactions
56 Replies
1K Views
Ikiwa leo ni siku ya biashara, wengi wangetarajia shughuli za kiuchumi kushamiri. Badala yake, baadhi ya wafanyabiashara wamefunga maduka yao, huku waendesha bodaboda wakisema idadi ya wateja...
1 Reactions
1 Replies
100 Views
Hata ufie ukiwa ofisini ila nauliza tu Je baada ya utawala mwisho wako utakuaje kama usikilizi viongozi wema wadini sio wanaokusifia. Sawa ukawa umetoka kwenye utawala ndio hawa wanaolalamika...
1 Reactions
1 Replies
98 Views
Samahani wakubwa nimeuza vitu vyangu kadhaa nimepata Shilingi elfu hamsini, nahitaji hii Hela isipotee maana sijui nitapata lini Tena. Naombeni wazo la shughuli ya kufanya Kwa kutumia kiasi hiki...
11 Reactions
76 Replies
1K Views
Kwa sasa kila idara kila sehemu ya taasisi zote za serikali zipo mikononi mwa CCM. Anachotafuta ni nani wa kumlinda. Nakumbuka hata maanguko mengi ya nchi hii ndio steji huwa wanatafuta wa kuwa...
1 Reactions
0 Replies
67 Views
Kila mtu atafute hela yake, mwanasiasa hawezi kukuletea pesa ya kula. Vijana pambaneni, mnatumiwa na wanasiasa kupigania nafasi zao
3 Reactions
16 Replies
217 Views
Wakuu, leo nataka niwape simulizi ya kweli kabisa ya mdada mmoja anaitwa Irene niliyekuwa namfahamu vizuri sana miaka michache nyuma. Hii simulizi iwaendee wale dada zetu wanaoishi mjini kwa...
7 Reactions
26 Replies
392 Views
Nyerere kuna nukuu yake alisema " Yesu kuna mda hakutoa majibu ya maswali sababu Wanafunzi wake walikuwa kama marofa" Neno Rofa tumeliona mfano hapo bungeni angalia walivyokuwa wakimsifu magufuri...
2 Reactions
7 Replies
90 Views
Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu. Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja...
9 Reactions
71 Replies
1K Views
Waziri mkuu alidai kuna watanzania waliokamatwa na USD milioni 1 ila hii taarifa kama na yeye kaunganisha ili mradi kuleta porojo zake za maisha ya CCM. Wale waliokamatwa kweli ni watanzania ila...
1 Reactions
2 Replies
93 Views
Ukiangalia bajeti iliyotumika kabla kupangwa mfano kutumia vyombo vya habari,makundi ya mwaipopo,wasanii,mitandao ya kijamii,propaganda za kulipa watu,nguvu kubwa na vyombo vya ulinzi. Leo tarehe...
2 Reactions
3 Replies
117 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…