Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Ningependa kuibua hoja kuhusu vinywaji vya Azam Energy Drink, ambavyo havionyeshi wazi kiwango cha caffeine kilichomo katika kila chupa. Ninaomba mamlaka husika pamoja na wazalishaji wa bidhaa...
6 Reactions
19 Replies
439 Views
Moja kwa moja ... Siku za nyuma nilipita mitaa ya Jiji la Dar es salaam Posta , Kisutu , Upanga na Mnazi mmoja . Katika pita pita zangu nimekuta majengo mengi wamiliki chakavu bado yapo katikati...
4 Reactions
12 Replies
235 Views
Sio kwamba eti ni punyeto ndio imefanya umeaanza kuona hakuna utamu katika sex , no , ni afya ya akili ndio director wa hii movie, unakuta mtu anachakata mikono kila muda kwa kutumia energy zake...
3 Reactions
10 Replies
159 Views
Nimeamua kuchukua hatua za haraka, maksudi na lazima kuacha kuangalia na kushabikia mchezo wa mpira wa miguu ili kulinda hadhi, heshima na IQ yangu. Mpira ni mchezo wa maskini, low IQ na...
8 Reactions
31 Replies
459 Views
Hivi adhabu gani ya kifo inamfaa 'muuaji sugu', (serial killer)?... i.e mtu kamlawiti/kumnajisi mtoto/kikongwe kisha kamnyonga/kamchinja (victim wake) mpaka kufa nk... ili iwe 'funzo' kwa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwangu mimi niliweza ku-save lakini sio kiasi kikubwa sana hadi namaliza chuo ni kama naanza upya Sasa nimekutana na mdada katika story mbili tatu ananiambia pesa ya Boom ndio iliyomfikisha hapo...
5 Reactions
42 Replies
605 Views
salam wakuu, Duniani kuna mengi ya kushangaza na kustaajabisha tazama mwenyewe. https://vt.tiktok.com/ZSCoTfqm5/
0 Reactions
5 Replies
185 Views
Gari za umeme ni nzuri na hazitumii mafuta ni kuchaji tu. Kwa africa sio za kuzipokea haraka maana hatuna uwakika wa umeme,miundo mbinu ya vituo vya kuchaji,mifumo ya mazingira ya gari . Hizi...
1 Reactions
1 Replies
177 Views
Mwanamke anayefanya kazi ya kuhudumia mazishi, anayejulikana kwa jina la Mary, nchini Ghana alinukuliwa akisema kuwa mara nyingi huhisi furaha anaposikia kuwa mtu amefariki dunia. Mary alisema...
2 Reactions
6 Replies
142 Views
Tokea nianze kutafuna chips za Dar sijaona utamu wowote kwa kweli. Yaani picha linaanza viazi vimeumuka halafu full mafuta kama vile unatafuna kipochi, havina ladha hata kidogo, viungo navyo...
1 Reactions
19 Replies
681 Views
Wakubwa shikamooni, wadogo zangu mambo vipi? Ndugu zangu nimekuja tena baada ya kuingia mtaani kupambania kombe Nakumbuka mara ya mwisho nilipitia msoto mkali sana nikaja humu kwa ushauri na...
0 Reactions
2 Replies
84 Views
Sisi watu weusi tunapitia wakati mgumu sana duniani. Tunatengwa, tunachukiwa na tunabaguliwa. Iwe kazini, kwenye michezo, kwenye ndoa, kwenye siasa kila mahali. Pia sisi wenyewe kwa wenyewe...
3 Reactions
23 Replies
340 Views
Kwa maoni yangu binafsi, Sisi wananchi tuchague,wabunge,madiwani na wenyeviti serekali ya mtaa! ---- Wabunge wao ndiyo wawe na nafasi/ mamlaka ya kupiga kura kwa kumchagua rais wa Jamhuri,hili...
1 Reactions
0 Replies
44 Views
Siku huyu mdudu anayekula pesa za watu akifungiwa humu nchini , vijana tutajenga na tutapendeza kweli kweli.
3 Reactions
3 Replies
104 Views
Kumekua na kasumba ya watu binafsi au kampuni kutumia mabaunsa kama walinzi binafsi na wengine wamekua wakiwatumia mpaka katika migogoro ya ardhi Tena mabaunsa wasiokua na usajili maalumu kupitia...
1 Reactions
2 Replies
67 Views
Na. Calvin Katera - Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ametoa maagizo sita kwa Kamishna wa Uhifadhi TANAPA Massana Mwishawa leo Julai 09, 2026, jijini Arusha alipokuwa...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Binti mwenye umri wa miaka 19, Neema Phinias Eric (maarufu kama Anifa), mkazi wa Tarime Sirari, anadaiwa kutoweka nyumbani kwa dada yake alipokuwa amekwenda mapumzikoni tangu Siku ya Jumatatu...
2 Reactions
7 Replies
279 Views
Wasalaam wananzengo na majukumu ya hapa na pale. Kero yangu iko kwa ndugu zetu wa mifuko ya hifadhi hasa watu tulio private sector tunaohudumiwa na shirika la mifuko ya hifadhi ya taifa kwa maana...
4 Reactions
3 Replies
254 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…