Ndugu zangu miongoni mwa mambo yanayofanXya Imani ionekane uhuni ni pamoja na hili la wachungaji kuisujudia pesa.
Musikilize mwenyekiti wa CPCT (The Council of Pentecostal Churches of Tanzania)...
Nimefuatilia na mmoja nimemaliza kumfuatilia. Yaani hot ubarikiwe yake anaongea kana kwamba jinsia ya mkutano wake ni ya kike tu.
Na naona ndio wanaomfuatilia na kucheka sana mkutanoni kuliko...
Kuna watu tuna idharau sana sehemu tunazo fanyia kazi
Sehemu unayo fanyia kazi watu hawataki kujua maisha yako kabisa punguza story nyingi na watu kuna baadhi akifa kazini ana anza kuhadithia...
Baada ya Mdau aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Usagara A, Kata ya Usagara, Wilayani Misungwi kueleza kuwa licha ya kutozwa fedha kwa ajili ya uzoaji taka lakini wamewekewa dampo la taka kwenye...
Wakuu, kama wewe ni mwanaume na unajua kabisa unadate na mke wa watu, basi siku zako zinahesabika, na acha mara moja tabia hiyo kwani mbali na kuwa utauawa kwa kukatwa-katwa mapanga, basi utalogwa...
Baada ya taaluma ya mawakili wa kujitegemea kupuuzwa, kudharauliwa, kudhalilishwa, kutishiwa kufutwa chama chao na "watu wasiojulikana" na baada ya kuona TLS ina nguvu kwa kutumia Section 4 of TLS...
Jana tarehe 17 Februari 2026, Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Tabora kupitia kesi ya Amina Mwaluko dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ilibatilisha utaratibu wa baadhi ya watu wakiwemo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitunuku Tuzo Maalum Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kufuatia mafanikio yake ya kurejea kwenye faida kwa mara ya...
TAARIFA KWA UMMA
KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZΑ ΚΑΤΙΚΑ ΤAASISI ZA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2026/2027
1.0 UTANGULIZI
Tume ya Vyuo...
Akizungumza wakati wa kufungua Jukwaa la Demokrasia Tanzania, leo Julai 09, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDASA, Profesa Ichumbaki ameeleza kuwa mkwamo...
Tumekuwa tukiambiwa kuwa imani ya kiisilamu hairuhusu kuchelewesha kumzika marehemu. Ayatollah Ali Khamenei alifariki tarehe 28/02/2026. Mara ya kwanza niliwaelewa Iran kwa kuchelewesha mazishi ya...
Kazi iendelee
Kwenu Serikali, mliyempa kandarasi ya kujenga dalaja hilo tajwa hapo juu naomba mumshupalie alimalizie, na kama mnalirekebisha ninyi wenyewe naomba mfanye haraka kulimalizia...
Kibaha Loliondo kuna viwanja hadi vya million 1, mmiliki wa hilo eneo ni Serikali (watu wanatapeliwa)
Kibaha Boko Mlemela kuna viwanja hadi laki 9, mmiliki wa hilo shamba la katani la Mo.
Kibaha...
Msio amini M/Mungu habari zenu
Moja Kwa Moja kwenye sikitiko langu hili, msaada Kwa wenye mahitaji, walemavu wa aina mbali mbali
Yaani natoka asubuhi nashindwa hata kuandaa japo TSH 500 ya...
Nina siku ya tatu nakwepa kulipa deni la tsh elfu 60 nikipiga hesabu naona mlima mrefu kulipa kipato ni kiduchu mahitaji yangu na family makubwa na sina namna yakupata cash, hawa ndugu wanaonidai...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limefuta matokeo ya watahiniwa 58 baada ya kubainika kufanya udanganyifu kwenye mitihani. Waliofutiwa matokeo ni watahiniwa 44 wa Mtihani wa Kidato cha Sita na...
Katika hali isio kuwa ya kawaida, sheikh alipo kua akitoa hotuba, amewasihi wanawake kujiepusha na maingiliano kinyume na maumbile, kukazia jambo Hilo amedai mwanamke yeyote ukiombwa na mumeo...
Tuanzie na mpango kwanza halafu tunaingia kwenye utekelezaji
Lengo kukutana na watu 1,0000 Tanzania bara yote wilaya 184 na Kila mtu akupe TSh 10,000.Jumla itakuwa ni TSh 100,000,000.
Sasa...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Dada yangu huyu ni mwana JamiiForum ni dada wa upendo sana namtafuta
Sijamuona tangu mama yangu mama Jenister Mhagama afariki dunia
Lakin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.