Hivi utaratibu wa waislamu kuzika mtu ndani ya masaa machache hauwezi kuwa unazika watu wakiwa hai?
Kuna jambo nimekuwa nikalitafakari kwa kina sana hasa kwa upande wa sayansi na uhalisia wa...
Hivi Wanawake Mmekubaliana Nchi Nzima Kuwa Kazi Yenu Rasmi ni Kujiuz
Salaam Wakuu, yaani unatembea unaingia zako baa, unakuta wanawake wamejazana caunta au pembeni huku wameagiza kinywaji chao...
Habari za hasubuhi ndugu wanajamiiforums Africa.
Dunia haina huruma kabisa kwa binadamu yeyote ,nimelitambua hili baada ya kutaka kuumizwa na watu niliowaeleza ukweli ofisini kwangu
Dunia ya...
Kila sehemu lazima utasikia watu wakiimba kwanza kabla kufanya mambo mengine.
Uwezi kwenda kuomba mizimu,umefiwa,mateso,furahaa,hisia,uzuni, na n.k bila kuimba.
mziki ni kujiponesha we mwenyewe...
ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) na imebaini kuwepo kwa maswali mazito yanayohitaji majibu ya haraka kuhusu uhalali, uwazi...
Nimekuwa nikifanya utafiti wa kina na maandalizi ya bidhaa moja ya kibunifu (innovative product) kwenye sekta ya vinywaji hapa nchini. Bidhaa hii inaleta suluhisho la kipekee sokoni na tayari...
Hii ni zaidi ya mara 5 mpaka sasa, kila nikilala chali.
Mara ya kwanza ilinitokea usiku around saa tisa wakati nimelala nikadhani labda ndoto, nikahisi kichwa kimekuwa kizito mpaka kinauvuta...
Elimu ya uchumi nafikiri inatakiwa ianzie nyumbani, huko utaipata kwa vitendo na maneno, inaonyesha familia nyingi za uchumi wa kati na chini huwa haziwarithishi watoto elimu hiyo!, inaweza kuwa...
Kuchelewa ni adui mkubwa wa mafanikio na afya. Watu wengi wameponzwa na kusema "baadaye".
Nitaenda baadaye hospitali, baadaye nitaomba msaada, baadaye nitaomba, baadaye nitarekebisha mahusiano...
Nilikuwaga shabiki wa FA sana ila tokea limeanza upuuzi wa siasa uchwara naona kama taka taka
Watu wapo kwenye Tamasha unaleta maagizo ya Makonda kwamba atajwe Samia
Britanicca
Hii project ilitakiwa kuwa kwa jamii kuridisha shukrani kama wakongwe wa fiesta mkaleta matukio kama kila mlicho fanya,kukumbusha maduka ,watu kampuni.
Hapa naona babu tale na cheo kesho sio...
Kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mitandao ya kijamii likidai kuwa "Chombo cha moto kutembea taratibu bila sababu za msingi ni kosa kwa muujibu wa sheria (kifungu namba 67) katika...
Hivi Tanzania haiwezi kujenga majiji mengine vizuri yakawa makubwa na maarufu kama Dar es salaam? Inakuwaje kila m Tanzania anataka kuishi Dar? Hivi Dar Peke yake ndio kuna maisha? Au wanazuzuliwa...
Mijitu mingine hovyo kabisa "utalisikia Mimi siamini katika uchawi". Wakati huohuo linachuki dhidi ya wenzake, lisengenyaji, kahaba lakiume/ lakike, tapeli , jizi , linafiki na lioga likubwa...
Wakuu nimekuwa nikisoma makala nyingi sana za kesi za watu kuuwawa au kunusurika kuuwawa na wake zao kisa kikiwa ni fedha na mali. Kwenye makala nyingi nilichogundua ni kuwa mwanamke aliolewa na...
Ndugu zangu Watanzania,
Soma hapa 👉Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) na Chama cha Kamati za Olimpiki Afrika (ANOCA) zimetangaza kumtambua rasmi Antony Mtaka kuwa Rais mpya wa Kamati ya...
Ukumbusho kwa nafsi yangu kwanza, kisha kwa ndugu zangu vijana.
Ewe kijana, dunia inatupumbaza kwa starehe zake.
Leo tunaona muda ni mrefu, kesho tunasikia habari za aliyekuwa anacheka jana, leo...