Wakuu,
Kidume kizima unakuwa na nguo maalumu za kulalia? Yaani ukitoka kwenye mihangaiko yako ya kimaisha.
Baada ya kupata dinner unaoga kisha unavaa nguo maalumu za kulalia ili iweje?
Je! Nguo...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda, amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akisisitiza kuwa jeshi hilo ni mali ya...
Mimi nadhani ukoo wetu wanatutumia wapige hela kikao cha siku moja nichange 30k kilo 4 za mchele kila mtu nyumban tupo 7 tuchange 210k na kilo 28 alafu siku moja tu ety usipoenda unategwa nawaza...
Kwa hali ya kisiasa iliyopo Tanganyika kwaasasa chochote kinachoweza kutumika kuwaweka wananchi busy wasahau kwa muda mambo ya kisiasa kinatumika vilivyo na kwa ukubwa wake
Napo mwanzo wasanii na...
Mapango ya chini ya ardhi yakiwa na mamilioni ya makombe ya baharini , hakuna anayejua ni nani aliyeyajenga. Shell Grotto huko Margate, Kent, Uingereza, inasimama kama moja ya siri za kushangaza...
Mlioko ujombani tunaomba picha, hatakuwa jambo la kiungwana msipotuonyesha picha za ugeni ukiwa mgombani.
Kwanza yuko wapi, Machame, Masama, Kibosho, Old Moshi-Uru, Marangu, Mwika au Rombo...
Habar za siku ya nane nane,na kwa wanasimba wenzangu leo ndio Ile sikukuu yetu ya kipekee kabisa,tuwe proud kuwa wanasimba daima NGUVU MOJA.
Mara nyingi sana hapa jf utasikia kauli kama Watu...
Mimi naamini tungepambana sana kwa pamoja kuboresha maisha yetu.
Akili za mwanadamu kufikiria kuna maisha mengine baada ya haya hapa duniani kunalemaza kutoshughulika na changamoto na hali...
Wadau mnakumbuka lile andiko la kuhusu Chuo cha Sheria Tanzania (Law School of Tanzania) kulalamika kuwa uamuzi wa chuo hicho kutangaza kuwa wanafunzi wote wa Kundi la 42 pamoja na Kundi la 40...
Asee , nipo moshi juzi kati tu akataka kunichoma kindezi , na nikafuatiliwa .
Sikujua nilifanya nini , ila huyo mpumbavu alipwe tena na agawe hizo namba nikamatwe tena kummmke.
We dwell here not according to our will, but according to his divine plans.
Baada ya tafakuri ya kina, nimepata jawabu ya kuwa sisi ni kama matawi na yeye ndiye mti wa uzima.
Binadamu tunapenda...
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) umepata ushindi mkubwa na kutangazwa rasmi kuwa Kiwanja Bora Zaidi cha Ndege Barani Afrika 2026 (Africa's Leading Airport) katika tuzo za...
Wasauzi wengi wamekulia katika mazingira ya mitaa yenye uhuni na wahuni wengi, jambo ambalo limewaathiri sana kisaikolojia. Kwao, kila kitu huanza na pesa, hata mahusiano ya kawaida ya kirafiki...
Habar za wikiend wanajamvi.
Poleni na pirika za wiki nzima na misukosuko ya kila aina. Haijalishi umeivuka kwa namna gani lkn upaswa kumshukuru alie juu.
Naandika bandiko hili kuomba ushauri wa...
Habari, katika siku za hivi karibuni baada ya NMB kutangaza kuwa wanafanya maboresho ya mifumo yao, nimeona malalamiko mengi kutoka kwa wateja kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.
Mimi pia...
Ameandika Diwani wa Kata ya Bondeni Moshi mjini Haji Fundi Haji
Leo Tarehe 01/09/2026
Nimepata fursa kama sehem ya familia kumpokea na kushiriki kumuombea Dua Mh. Makamu wa RAIS leo nyumbani...
Habari wanajamii,
Naomba msaada wenu kuhusu jambo ambalo limekuwa likinipa hofu kwa muda naenda mwaka wa pili sasa. Nimekuwa nikiota ndoto zinazojirudia mara kwa mara kuhusu nyoka wa aina tofauti...
Kutakua na matengenezo ya mashine, baada ya kukamilika wataijaribisha kwa kuitega na kutazama namna inavyopushi gurudumu linaloanzisha mzunguko (mwendo).
Lakini mafundi (ndugu) hao mkubwa ndio...
Kipekee kabisa nichukue nafasi hii kuwashuru wafuatao
Mungu Mwenyezi baba wa mbinguni
Wazazi wangu
Familia yangu
Ndugu zangu, jamaa na marafiki
Members wote wa Jamii Forum
Uongozi mzima wa Jamii...
Nimepokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wanaofanya kazi katika Kasulu Sugar Project, mradi wa kiwanda cha sukari unaojengwa Wilaya ya Kasulu, Mkoa wa Kigoma.
Wanadai kukumbana na...