Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Meja Jenerali John Walden a.k.a Black Mamba, mwanajeshi wa JWTZ, kiongozi wa Brigedi 207. Aliongoza mapambano ya Masaka na yale ya kuchukua makazi ya Idd Amin katika vita vya Kagera. Alizaliwa...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
  • Redirect
Kulingana na sheria na taratibu za nchi yetu ushoga na usagaji ni kinyume na sheria Kwanini serikali imeshindwa Kumchukulia hatua za kisheria huyu kijana?? Anahamasisha ushoga na kujitangaza live...
0 Reactions
Replies
Views
Katika imani ya Buddha hata Hindu wanaamini mwisho wa binadamu ni kufa na kuzaliwa tena. Kuzaliwa huku kutatokana na matendo yako. Kama yalikuwa ni ya kumpendeza Mungu basibutazaliwa kwenye...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
  • Redirect
Habarini wadau! Leo mheshimiwa rais alipoenda bandarini kumaliza tatizo la mafuta kulikuwa na mzungu mmoja pembeni. Huyu mzungu bana alivyokuwa ana act was very weird alafu alipopewa mic kuongea...
4 Reactions
Replies
Views
Daudi T. Balali‏ @daudibalali Kumekuwa na majaribio mawili kuondoa uhai wa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania Profesa Mussa Assad. Jaribio moja lilimlenga nyumbani kwake na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Redirect
Nimegundua, nikiacha salio kwenye simu kuna kiasi kinakatwa usiku. Mara ya kwanza nilifikiri labda huwa naacha data bila kuzima. Nimefuatilia mara nyingi nimegundua salio linakatwa hata kama simu...
1 Reactions
Replies
Views
Habari Nilienda tra kwaajili ya CGT nikapewa karatasi nikalipie nimelipia leo narudi wananiambia nikalipe ongezeko sasa hii ni haki kweli?
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Kwanza nianze kumshukuru Mwl.JK na watangulizi wote wakiwemo Waarabu kwa kuasisi lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Tuna makabila zaidi ya 120, sote tunaunganishwa na lugha adhimu ya Kiswahili...
4 Reactions
32 Replies
7K Views
  • Redirect
Wachungaji watatu wamenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, baada ya kushindwa kumfufua marehemu katika Kijiji cha Sitalike Tarafa ya Nsimbo wilaya ya Mpanda mkoani Katavi. Wachungaji hao...
0 Reactions
Replies
Views
Habari zenu wanajukwaa. Niende moja kwa moja kwenye hoja. Juzi tuliona kwenye vyombo vya habari kuhusu mizoga ya ng'ombe 15 waliokuwa wamepelekwa tegeta Dar es salaam ili kutengenezwa na hivyo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Usiku huu imebidi nipitepite YouTube kucheki mambo ya home huko, kilichoniacha hoi ni mwanaume strong kabisa wa Dar Es Salaam akimuomba nauli raisi Magufuli katika ziara yake bandarini huku...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Poleni na majukumu wakuu, Rejea kichwa cha habari, kuna ndugu yangu anahaha kweli kweli akitafuta visa ili aweze kuvuka border kuelekea nchi za Scandinavia. Kimsingi yeye anadai kwamba haioni...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
  • Closed
Nashukuru Jamii forum kwa hili, Leo nimepigiwa simu na kiongozi wa hii kampuni akiwa Zanzibar kwa namba ya halotel inayoishia na nambari 029, akasikiliza malalamiko yangu na kiukweli ameongea...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa tuliosoma boarding hasa zile za wasichana na wavulana tulikuwa tunakula msosi huku mboga zikiwa na harufu ya mafuta ya taa. Hakuna sababu ya maana iliyokuwa inatolewa na wapishi zaidi ya kuwa...
0 Reactions
80 Replies
19K Views
Sababu hii inatosha kabisa kutokuirudisha tena ccm madarakani mwaka 2020 sema watanzania hatutumii akili zetu sawasawa hasa wanawake walio wengi wamekuwa janga kubwa katika hili, lakini akili zao...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Wana-JamiiForums, awali ya yote Heri ya Christmas na mwaka mpya. Naomba kujuzwa gharama ya kutembelea mbugani Serengeti ikiwa ni pamoja na hotel. Lengo niipeleke family yangu huko atleast kwa...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nawasilisha malalamiko yangu kwa uchungu mkubwa, kwa heshma na taadhima naziomba mamlaka za juu zinazojihisisha na SUMATRA kitenga cha mabaharia wamulike kwa jicho la pili kitengo hiki kwani ni...
1 Reactions
0 Replies
864 Views
Msiba wa mama Winnie Mandela atakaeguswa atume mchango kwenye namba yangu, sote ni ndugu. M-PESA 0744409220 *Viva WINNIE VIVA AFRICA* R.I.P winny, chit chat hahaha
3 Reactions
18 Replies
2K Views
China wametengeneza daraja la kioo tupu ambalo ni 3000 mita kutoka usawa wa ardh, daraja ilo limejengwa likizunguka mlima na linatumika kama kivutio cha utalii, Jambo la kushangaza ni kwamba...
4 Reactions
36 Replies
7K Views
Maana nimeshangaa eti Msasani wanaiita uswahilini? Ni maeneo gani hapa yana sifa ya kuitwa uswazi? Mnanichanganya mjue...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…