Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wachungaji watatu wamenusurika kipigo kutoka kwa wananchi baada ya kushindwa kumfufua marehemu katika kijiji cha Sitalike Wilayani Mpanda mkoani Katavi Wachungaji hao walifika kijijini hapo...
4 Reactions
53 Replies
6K Views
Kwa zaidi ya miaka 48 (1967 -2015) tangu uhuru wake Tanzania imekuwa na maisha yasiyoeleweka kiuchumi pamoja na kuwa na vitu vingi na maliasili nyingi ambazo zingeweza kuipaisha nchi hii kiuchumi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wana jamvi naomba kujua utaratibu wa uhamisho nahitaji uhamisho Mimi nafanya kazi halimashauli moja wapo hapa Tanzania kama afisa ugavi na manunuzi nahitaji kuhamia Taasisi yeyote ya ELimu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Continetal drifting theory inazidi kuprove us right ... ========= Kuibuka kwa ufa mkubwa katika eneo la Suswa katika Bonde la Ufa kusini magharibi mwa Kenya kumezua wasiwasi kuhusu uthabiti wa...
7 Reactions
118 Replies
26K Views
Habarini wakuu, nimebahatika kupata fursa ya kikazi Zanzibar Kwa miezi mitano, sasa nahitaji nyumba ya kupanga iwe ni chumba kimoja tu master. Budget yangu haizidi 90 Kwa mwezi. Kama nikipata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Redirect
Kwa robo ya kwanza mwaka huu, Deni la Taifa limeongezeka kwa zaidi ya Sh. 12 Trilioni na kufikia takribani sh 60 trilioni, Ripoti ya Benki kuu inaonesha. #Mwananchi
0 Reactions
Replies
Views
Wing of the plane have been conflict and civilians in the Indian Ocean on the island of Kojani. Made known is what airlines. A place where it is believed to the remains of the plane have been...
6 Reactions
83 Replies
49K Views
Huku akikabiliwa na mashtaka 12 ya uhujumu uchumi, Harbinder Sing Sethi ameondolewa katika orodha ya wakurugenzi wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania (IPTL). Uamuzi wa...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
Miaka ya nyuma kidogo Malaria ilioneka ni ugojwa tishio kwa kusababisha vifo vingi! Baada ya jitihada mbalimbali ikiwemo dawa na utunzaji wa mazingira maambukizi ya Malaria yamepungua kwa kiasi...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
“Wafungwa waliopewa cheo cha unyampala ndio wanaoweza kupata chakula cha kutosheleza matumbo yao, wengine huishia kula kwa kunyang’anyana na mwenye nguvu ndiye anayekula, kwa kifupi mle ndani...
0 Reactions
2 Replies
762 Views
  • Redirect
Nimeshangaa sana, mwipwa wangu ana mkopo NMB sasa CRDB waliomba barua ya NNB ikionyesha mkopo anao daiwa cha ajabu sasa ni siku ya 5 leo (siku za kazi) wanamzungusha tu, sasa najiuliza inamaana...
1 Reactions
Replies
Views
Ratiba ya mfungo muda wa kufuturu huo hapoo. Niwatakie funga njema yenye baraka nyingi inshaallah [emoji120]
4 Reactions
13 Replies
7K Views
mshana ni mmoja ya watu ambao pasipo kificho wamekuwa wakijitanaibisha kuwa wao ni wataalamu wa sayansi za kiafrika. sijui kwa ukeli kiasi gani hilo si suala linalonihusu. jana nilikuwa na wana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeona sio vibaya nikatoa tahadhari au angalizo kwa ndugu zangu wenye usafiri binafsi ambao wanapenda kwenda nao Airport ya Julius Nyerere International Airport either kusindikiza ndugu jamaa na...
29 Reactions
88 Replies
12K Views
Mzuqa sana wanajamvi? MODS msiunganishe. Kweli nyani haoni makalio yake. Dogo aliletaga uzi humu wakati flani kuhusu wabongo wanaoishi Sauz. Akawakandia kweli wanaishi maisha duni na ya...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
  • Redirect
Wanajamvii mambo vipi? Jamani kwenye pitapita zangu nimekutana na matangazo ya TRA kwenye gazeti la Daily News kuna Makontena zaidi ya 20 mali ya Mr Paul Makonda kupigwa mnada nikajiuliza ni...
2 Reactions
Replies
Views
Muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael, maarufu Lulu, amebadilishiwa adhabu na sasa anatumikia 'kifungo cha nje' kwa amri ya Mahakama Kuu Tanzania. Lulu alihukumiwa kifungo cha miaka miwili...
9 Reactions
285 Replies
46K Views
Naona vijana wengi wa kiume jana walikuwa mstari wa mbele katika kuwatakia heri mama zetu katika siku ya wanawake duniani. Ukweli ni kwamba 94% ya vijana wengi hawawatunzi mama zao wala...
9 Reactions
61 Replies
5K Views
Habari wanaJf Moja kwa moja kwenye mada, Mkoa huu bado una changamoto za huduma za kijamii kama maji, barabara za mitaa pamoja na umeme baadhi ya maeneo, Chakushangaza wenyeji(Wanyantuzu)...
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Back
Top Bottom