Wandugu zingatieni sana hili hasa ukiwa pekeyako
Ni uamuzi wa busara sana kutozima simu yako unapoenda kulala, kwani hatua hii ndogo inaweza kuwa tofauti kati ya usalama na janga kubwa.
Nyakati...
Facts is:-
Kunapotokea suala la starehe ya muziki,basi tufanye muziki,
------
Kunapotokea suala la michezo,basi tufanye michezo,
------
Kunapotokea suala la siasa au muda wa siasa tufanye siasa..
sisi wenye ID's ambazo hazina muda mrefu kuanzishwa sio kwamba tulikuwa na ID's za awali na wala sio kwamba ni wageni hummu jamvini.
kumekuwa na nyuzi kadhaa za unyanyapaa kuhusiana na ID's...
Hey guys,
Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kuhusu utafutaji wa kazi na fursa mbalimbali kati ya mwanaume na mwanamke.
Mara nyingi naona kuna tofauti kubwa sana.
Mwanaume anaweza kwenda kutafuta...
Tangu tukiwa wadogo tukiwa tunapiga kelele, story imekuwa ni moja tu jamaa anakuja! Walimu walikuwa wanatupiga mkwara hadi tunashindwa kulala, tukihisi tukifumba tu macho, jamaa huyo hapa getini...
Tuseme ukweli hii idara kama hakuna kitu imebaki kama ilivyounda tokea kupata uhuru.
Ni kama idara iliyochakavu hakuna jipya wala mapya.
Idara ya usalama imebeba mambo ya kizamani sana na mtindo...
Polisi wetu pamoja na kazi yenu ngumu ya kutuhudumia/kutulinda mna tabia fulani chafu.
Tabia ya kuona kuwa mna haki ya kupewa favor, tabia ya kujiona mna haki ya kusaidiwa.
Unaweza kumpa police...
Mkazi wa Mtaa wa Isengo, Kata ya Iyela jijini Mbeya, Enelesta Pili, amepokea zawadi ya shilingi milioni moja kutoka kwa Dkt. Tulia Ackson baada ya mjukuu wake kuchapisha mtandaoni video...
Kwangu mimi na amini asilimia kubwa jinsi walivyo mpata pole pole ni mitandao ya simu ndio ilivujisha root trace ya pole pole.
Kwa kipindi chote inaonekana kumtafuta waliangalia namba za simu za...
Haya matendo uwa yapo na yana kuwepo mfano kwa idd amini ilishafanyika,sudan ya kaskazini na sasa naona kwa tanzania kufanyika tena kuna hatari kubwa.
Katika majukumu yangu juzi tarehe 8 mwezi...
Taarifa za awali zilidai kuwa mwanamuziki huyo amefariki dunia lakini amejitokeza hadharani na kufafanua kuwa taarifa hizo si za kweli bali aliyefarki ni mtoto na si yeye
"Jamani naomba, mimi...
Nimepata hofu sana, Kwa Nini lakini tumefika huku, kweli mazungumzo ya kisiasa ni muhimu? Kwenye show isio husu siasa?, Kuna chupa zinge rushwa wallah, safi sana muheshimiwa Kwa. Kuliona hilo
Niulize kwanza,je, kigugumizi kinatibika? Nimepata fursa ya kutembelea Familia nyingi hasa maeneo ya kijijini, si watoto,mabinti au vijana, watu wazima wana kigugumizi,najiuliza nini chanzo cha...
Ugomvi wa vijana wawili nani aongoze sala au swala katika shule ya Sekondari ya Thika umepelekea kijana Mohamed wa jamii ya Wasomali kufariki baada ya kupigwa na mwenzake vibaya sana.
Habari za wakati huu,
Maranatha ya Kabwe Mbeya kwanin hamtupi wateja risiti???? Nimelipia dawa ya kupaka ya gram 50 nimepewa ya gram 20 nimeondoka bila kukagua nafika nyumbani naona tofauti...
Hii nchi ni mungu na shetani mpaka sasa wanatujadili kama walitukosea kutuchezesha kama walivyo kwenye majukumu yao.
Yani kwa sasa serikali ya CCM wamejikita na ITV ndio wanaona pazuri pakuweka...
Habari wakuu.
Jez mtoto wa miaka 2 anaweza akatumia kitunguu swaum kumeza??
Nataka nianze utaratibu wa mtoto wangu awe anameza nusu punje ya kitunguu swaum asubuhi kabla ya kula chochote...
Tumeshuudia kila kiongozi wa iran aliwahishwa haraka kupokea mabikra 72.
Kwa sasa nchi ya irani inaogopa hata kutangaza huyu ni kiongozi gani maana kwa mashambulizi wanayo pokea mpaka nyumbani...