Umemaanisha niniWamala kinehe nang’o!
Si mnasema ukimtia mtoto kwenye manyunyu kabla hajaanza kuongea anakuwa na kigugumizi!
Wanasemaga mtoto ambaye bado hajaongea ukimpitisha kwenye manyunyu anapata kigugumiziUmemaanisha nini
Manyunyu ya Mvua?Wanasemaga mtoto ambaye bado hajaongea ukimpitisha kwenye manyunyu anapata kigugumizi
Ndio, kuna manyunyu mengine yapi?Manyunyu ya Mvua?
Weka kifungu cha katiba.
😁😁😁Wanasemaga mtoto ambaye bado hajaongea ukimpitisha kwenye manyunyu anapata kigugumizi
Kwa kijijini ngumu kuzuia hii.Wanasemaga mtoto ambaye bado hajaongea ukimpitisha kwenye manyunyu anapata kigugumizi
Labda anafikiria Yale ya wahaya, wanyarwanda na waganda.Ndio, kuna manyunyu mengi yapi?
Kwanini?Kwa kijijini ngumu kuzuia hii.
Duhh amefika mbali sana! Unamskwetiaje mtoto sasaLabda anafikiria Yale ya wahaya, wanyarwanda na waganda.
'Sikwetingi' kwa kisukuma.